Jamii Photos

A collection of Community Photos brought to you by our members. Enjoy your stay!
Mwana katuni maarufu amekuja na kitendawili kipya kwangu binafsi nimetoka kapa kujua nini anamaanisha. Mwenye ujuzi na habari picha tafadhali atusaidie.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nyama tamu kabisa hii...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Ni mwaka 1943, Nairobi. Ilikuwa kipindi cha ukoloni, na hapo ni wanafunzi wakifunzwa namna ya kuendesha gari na hayo mawe kichwani ni wasiangalie chini wakati wa kuingiza gia.
14 Reactions
43 Replies
6K Views
Anauliza hivi Arseno mnakwama wapi jamani...?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Siku hizi kuna ganzi na bado watu wanalia lia
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Aisee Kitambo ilikua unaeza shona pensi kwa kitambaa cha msuli!!
1 Reactions
2 Replies
967 Views
Chuga raha sana Bablinyo..Hapo ni baada ya kukosa jax ya Guest House.
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa nini isingepita moja kwa moja hiyo barabara hapo kutoka hapo kuliko wekwa alama nyekundu. Lakini wameizungusha kipi kilikuwa kinatafutwa au kukikwepa? Mimi jibu langu ninalo kichwani nataka...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Hebu sema neno moja kwa Mh. Babu wa Samunge na wateja wake.
2 Reactions
43 Replies
5K Views
Nimekutana nae wakati naenda home Anaitwaje kikwenu?
6 Reactions
172 Replies
18K Views
3 Reactions
6 Replies
1K Views
2 Reactions
6 Replies
2K Views
dah! Mzee mambo ya kibaharia hayaendi huku watu wanakutafuta,Leo tulitarajia kisulisuli kitupeleke mlima wa Moto lkn hili lako ratiba zimebidi zigeuke.. jitokeze mzee mambo si mambo😂😂
3 Reactions
32 Replies
4K Views
0 Reactions
10 Replies
2K Views
4 Reactions
14 Replies
4K Views
HII BENDI MBONA IMEKOSA UMAARUFU SIKU HIZI
2 Reactions
18 Replies
3K Views
[emoji3]
6 Reactions
18 Replies
4K Views
Back
Top Bottom