Wakati taarifa ya ulipaji kodi ya makontena ikiendelea kuna watu walikua wakitabasamu (More of grinning than smiling though)
Ni kama vile kila mmoja alivutiwa na uwezo wa Rais kujua sheria yetu...
Kama umelala peke yako Usiku mwema...Na kama Umelala na mwenzako kazi njema...
Sent using Jamii Forums mobile app pkease Change my Name to mkuu wa kaya
Haya sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pakua hiyo video ufurahi kidogo halaf comment kutokana na alivyokuchekesha huyo jamaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo Baada ya Mishe za hapa na pale nikaamua, kuchezea kidogo simu yangu hii na kudesign logo za wanajamii forum maarufu baadhi kwa kulingana na majina yao. Wapo wengi ila hawa ni wachache siwezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.