Nilienda mkoa wa Songwe (mojawapo ya mikoa ya nyanda za juu kusini) nikaamua kwendaona KIMONDO. Wenyewe wasema kina uzito wa "16 metric tons"
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani hebu oneni hali tuliyonayo baada ya miaka 50 ya uhuru, madarasa mawili kwenye chumba kimoja!!! Jamani hii inaumiza mno...viongozi wetu wanaendesha magari mamillion ya pesa, lakini watoto...
Je una uwezo wa kujibu maswali haya kama yalivyoulizwa katika mtihani huko Zambia?
Kwa Kiswahili nimejaribu kutafsiri kwa uelewa wangu wa GPA ya 32.
1. Nyeupe ni rangi na nyeusi ni rangi lakini...
this day (27/8) last year i becom a father.. mambo yamebadilika sana.. i sold my two subaru, working 13hrs a day, kila jambo nafanya mwenyewe simtumi mtu, sitoi tip, napenda mwendokasi...
Huyu Faru kitwanga ni mkali mno hasa anapoona watu wanamkaribia ona alichofanya hapa Kwa video
Utaratibu wa kuwapa majina maarufu hawa mafaru umeshika hatamu sasa ona
Vijana wa zamani wakati huo ndio wasafi wa Tanzania na dunia kwa ujumla na harakati zao hadi hapo walipofikia
Mugabe
Warioba nyuma
Kambona
Kingunge
Padre slaa
Chuma magufuli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.