Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
Azam mtatoka jamani mbona mnaenda kupokea aibu Leo Wana azam mmejipanga??kunyonya koni
0 Reactions
323 Replies
25K Views
Jamani Naomba Tujuzane Kinacho Endele Kati Ya Azam Na Yanga Uwaja Wataifa Make Sisi Wengine 2ko Vijini Atuna Hili Wala Lile. Natumai Sasa Ni Dk Ya 14 Vp Matokeo? Nani Anaonekana Kumiliki Mpira?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hizi taarifa nimezipata muda si mrefu je ni kweli Patrick Philli ametimuliwa? Yeboyebo hili swali aliwahusu acheni umbea
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Kumekuwa na malalamiko kila kukicha kuhusiana na matukio ya ‘wazi’ ya kubebwa yanayotoka kwa timu pinzani za Manchester united ya uingereza. Pamoja na ubora wake, Man Utd ni timu ambayo...
16 Reactions
223 Replies
36K Views
mpira umeanza dakika 15 zilizopita timu zinashambuliana kwa zamu
1 Reactions
192 Replies
22K Views
hii ni kwa wale mashabiki na wafuatiliaji wa ligi kuu ya soka ya italia,yani serie a.pamoja na kuibuka kwa wimbi la mashabiki wa english premier league(epl) linalochangiwa sana na promo za...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Armed with a club Chanelle Wangari swings and hits the ball, she tilts her head as she follows her shot as she teed off at the Zebula Golf Estate in South Africa. The seven year old steadily went...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hii ilikuwa kwenye mashindano ya soka ya vyuo ya Marekani kati ya Yale Bulldods na North Carolina Tar Heel. Angalia hapo chini ndio ujue soka limeingia rasmi Marekani.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Michuano ya Cecafa Senior Chalenji sasa haipo tena baada ya waandaaji Ethiopia kujitoa, hivyo kukosa muandaaji mbadala. Michuano hiyo ilitarajiwa kuanza Novemba 24 hadi Desemba 9, mwaka huu...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Taarifa niliyoipata asubuhi hii ni kwamba aliyekuwa katibu mkuu wa Yanga Bwana Beno Njovu na aliyekuwa Cashier Dada anayefahamika kwa jina la Rose wamelala lupango Central tokea jana kwa kosa la...
2 Reactions
27 Replies
4K Views
Awa jamaa walitabiri simba ita droo raund ya kwanza na itafungwa raund ya pilli sasa naona kazi imeanza Aveva acha kiburi kaeni na hawa watu mtoe tofauti zenu jamani
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Usivae kiatu kimoja cha kushoto Ukishuka tanguliza mguu wa kushoto Nimewahi kufanya utafiti wa uchawi (MKUSANYA TAKWIMU) kwenye soka la Bongo na hata kwetu yapo HAYA
2 Reactions
31 Replies
5K Views
Habar wana jf mm ninawazo la kuanzisha biashara yangu ambayo ita husika hasa na kuanzisha timu yangu ya mpira wa miguu na kuimiliki lakini timu yenyewe ni zile za michangani wakuu jee kama...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
By JOHN MUCHIRI Mombasa-based artistes claim that they were mistreated by promoters at the Jamhuri Day Diamond concert last Friday. They say the promoter ejected all the Coast-based musicians...
0 Reactions
23 Replies
6K Views
1. NMB inasitisha mkataba wake wa "vijisenti kadhaa" katika timu ya Azam FC. Wanainunua Ndanda FC, wanaibadili na kuwa NMB FC na kuwekeza mabilion.. Hii inawatangaza vyema, hadi kuwa the leading...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
GK - Emanuel Nuer RB - Philipe Lahm LB - Marcelo CB - Thiago Silva CB -Jorome Boateng DMF - Yaya Toure AMF - Luca Modric WG -Cristiano Ronaldo WG - Gareth Bale CF - Lionel Messi CF -...
0 Reactions
0 Replies
760 Views
Azam vs El Merriekh Azam, wawakilishi wa Tanzania Bara kwenye ligi ya klabu Bingwa Afrika, wamepangwa kukutana na klabu ya El Merriekh ya Sudan kwenye raundi ya awali ya michuano hiyo. Chanzo...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Byebyeee maxi,.....
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Thierry Henry Mshambuliaji wa zamani wa Klabu ya Arsenal na timu ya taifa ya Ufaransa Thierry Daniel Henry ametangaza kustaafu kucheza soka rasmi. Nyota huyu alietwaa kombe la dunia mwaka 1998...
2 Reactions
55 Replies
11K Views
Namuheshimu kama moja ya wachambuzi mahiri wa soka kibongobongo na mwandishi mahiri wa makala lakini hii tabia yake aya kusifia kila kitu cha uzunguni inakera sana..yaan kwa huyu jamaa kila kitu...
0 Reactions
34 Replies
6K Views
Back
Top Bottom