Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
alipokuja maximo yanga uongozi ulipewa masharti yafuatayo: Yanga kuwa na uwanja wa mazoezi hapo klabuni. wachezaji kuweka kambi klabuni. kuweka vifaa gm. kusajiri mchezaji yeye mwemyewe...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Aapa hatoisahau simba na yanga,.... Asema soka la bongo alitaendelea watu wanataka pepo bila kuonja mauti umeona wapi hiyo aisee huyu jamaa kumbe bado alikuwa anahisi anqtupeleka peponi kwa...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mjini Ndugu Norman Sigala pamoja na Meya wa jiji la Mbeya Ndugu Athanas Kapunga wakipokea kadi ya ushabiki ya Mbeya City Football Club kutoka kwa Kaimu Mtendaji wa Benki ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cristiano Ronaldo overtakes Lionel Messi as the best footballer in the world After twice finishing runner-up, Ronaldo has won the arm-wrestle between the two best players on the planet to...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimefuatilia kwa makini sana mgao wa tuzo za Channel O huko bondeni na kung'amua kuwa wakenya hawakuambulia kitu. Yaani wametoka kapa au wameishia kuwa wasindikizaji. My take: Hii imekuwa ahueni...
4 Reactions
43 Replies
7K Views
Maximo na Emerson wakiwa airport tayari kwa safari ya kurudi Brazil
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Tanzanian Bongo star Diamond Platnumz was in Mombasa over the weekend for a Jamhuri concert. He is easily East Africa's biggest music star, and crowds he draws says it all. On his way back to TZ...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Ureno wana Jose Mourinho, Germany wana Jurgen Klopp but Tanzania tuna Jamhuri Kihwelu a.k.a Alberto Julio. Julio ni kocha ambaye ambaye amajijengea jina kutokana na kauli zake za ndani au nje ya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
kwa muda sasa timu zetu zimekuwa zikiteua kamati mbalimbali ilimkuongeza ufanisi kwny timu lkn mi binafsi sioni ufanisi wowote zaidi ya kuzidisha vurugu na kurudisha nyuma maendeleo ya timu zetu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama kocha sitarajiiimajibu tunafungwa ama atutoki kabla yamechi lakini Hayo ndio majibuya coach wa makipa wa Yanga Juma Pondamali alipoulizwa unaonaje Mpira wa Leo Leo mgumu kutoka ni ngumu...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Wakuu, nadhani mnakumbuka klabu ya Ndanda inayocheza ligi ya kuu (VPL) sawa naklabu ya Yanga, ilipomuachisha kazi kocha wake kwa kupata matokeo mabovu vyombo vya habari vilimhoji kocha Charles...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Lile jina la mcheza soka nchini toka Uganda anayechezea Simba sports club amebadilishwa jina ili kuondoa ukakasi katika kulitamka kuonekana kama tusi kwa lugha yetu. Jina hilo litasomeka Simon...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Watoto kumi utasema wako 20 mnavyochezewa Loh Kilalakheri aston v
1 Reactions
1 Replies
704 Views
Umeonyesha mapenzi kuisaidia timu yako FRIENDS RANGERS na kumlipa mshahara Haruna Moshi Boban, Kweli Bongo soka alilipi
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mungu si wa manji wala sanga max maximo ndani ya new job
1 Reactions
4 Replies
2K Views
SRC MwanANCHI HII NI HABARI MBAYA KWA SIMBA NA YA HUUZUNI KWA WANAMICHEZO KAMA ITATHIBITIKA NI KWELI RAIS WA EXPRESS YA UGANDA AMEKIMBILIA MAHAKAMANI KUOMBA ZUIO LA KUTOCHEZA KWA SSERUNPAPUCHI...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Niliposema kuwa Maximo analeta watoto wa dada zake waje kuchezea Yanga kuna watu walitaman wanishike kooni na kuzia pumzi isitoke. leo mmeyaona. lakini sikuishia hapo. nlilaumu sana Yanga kuamua...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
kuna habari timu ya yanga inaanzisha cheo cha ukurugenzi wa ufundi na cheo hicho anakabidhiwa maximo
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa mashabiki wa YANGA, Hizi taarifa ni dhahili ingawa kuna mvutano mkubwa ukiendelea kikaoni kwa sasa. Na tayari kocha wa zamani wa yanga Pluijm ameshatua Dar kwa ajiri ya kumalizana na Yanga...
2 Reactions
167 Replies
24K Views
Back
Top Bottom