-Ujio wa mshambuliaji mpya wa Simba SC, Daniel Sserunkuma unaibua maswali mengi kweli.Kutokana na Taswira ya ushindani ktk ligi yetu...je ataweza kuhimili changamoto za VPL.
-Kama Ushindani ktk...
Vyema na haki
wazo langu tu binti huyu wasimrarue kama wanavyopiga marefarii wengine
naamini mumewe atakuwa uwanjani kuongeza ulinzi kama ameolewa
kila la kheri mama
WAKIPEWA nafasi wanaweza...
Tumeona nchi hii pana watu (wazawa) wenye moyo wa kusaidia jamii.
Mfano ni huyu mheshimiwa James Rugemalila aliyeamua kugawa Escrow zake kwa marafiki zake wenye matatizo mbalimbali.
Kama Jamal...
Nakumbuka miaka ya 90 wakati ikicheza Simba na Yanga, maombi yangu yote yalikuwa ni kwa Yanga tu ili ipate ushindi ingawa hata wachezaji majina yao nilikuwa siyajui.Kuna mdosi mmoja alikuwa...
Sina raha ya maisha,kila week end pressure,sitembei kivua mbele kama wengine,hata ile t shirt naona Aibu kuivaa.Mbona wanasiasa wanahama vyama,Ndoa zinavunjika na maisha yanasonga mbele,Wacheza...
Nimesikia tetesi za wachezaji wapya wanaotaraji kusajiliwa Simba, akina Serunkuma kwa mfano toka Gor Mahia ambaye licha ya jina kubwa nilimuona kama mchezaji wa kawaida sana wakati simba...
Mabao yake matatu dhidi ya Apoel Nicosia yamemfanya Lionel Messi kuweka rekodi ya mabao 74 katika michuano ya Klabu Bingwa Ulaya. Hiyo ni rekodi mpya kupata kuwekwa katika UCL. Sasa Messi anamzidi...
Ni wazi mzee Wenger hana jipya tena na hawezi kutufukisha popote katika harakati zetu za kujenga heshima ulaya japo kuchukua UEFA.
Licha ya timu kutokua na wachezaji wa kutosha ila bado...
YALIYOJIRI DIRISHA LA USAJILI 2014/15 - BIG SIGNINGS
MANUTD
- Hatimaye KILLER Radamel Falcao (28) ametua ManUtd kwa mkopo wa msimu mmoja, kwa dau la £6m na mshahara wa £350,000 kwa wiki...
Basi bwana, baada ya kususa kwenda taifa nikakata shauri la kununua Dish la Azam ili nifuatilie VPL nikiwa home! Let me say this... naipenda zaidi ligi ya nyumbani kuliko hiyo EPL... yaani...
Waandishi wetu wa michezo huwa hawakosi habari sio tu kwenye radio, television hata magazetini. Hebu tujiulize habari zinazohusu matawi ya vilabu vya Simba na Yanga zina faida gani katika...
Watoto Wa nyoka ni nyoka, ni kawaida kwa watoto Wa wachezaji kupenda kufuata nyayo za wazazi Wao lakini jina la gwiji la zamani la mpira Wa miguu Wa timu ya simba, majimaji na taifa King Kibadeni...
6 December 2014 Last updated at 18:45 GMT
Facebook
Twitter
Ahly beat Sewe Sport with late goal to win Confederation Cup
Al Ahly won their first African Confederation Cup title on...
Kocha maarufu nchini, Abdallah ‘King' Kibadeni amezushiwa kifo na kusababisha utata mkubwa.
Taarifa ziliripotiwa na mitandao zimefanya watu waanze kumpigia simu kila mara.
"Kweli hata mimi...
Haya jamani wale mashabiki wa jengo la Msimbazi (KariaKoo),Leo ninadiliki kusema ya kwamba timu yenu haina makali tena .yaani kutoka suruhu na hawa jamaa wanaoshika nafasi ya nne kule kwao.
Mkae...
The Highest-Paid African Players in NBA History
10. Mamadou N'Diaye – Career Earning: $3.1 Million
Mamadou N'Diaye played for five years in the NBA from 2000 to 2005. He spent three...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.