Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
Huu ni wakati wa Yusuf Manji mwenyekiti tajiri wa Yanga anakiri kuwa zile bao 5 ambazo aliahidi kurid za Yanga kufungwa na Simba hali ni ngumu sana....ni wakati mwingine kabisa kwa unyonge...
3 Reactions
67 Replies
8K Views
Yaani hili litimu kama arsenal tu!! Kama linapona hivi halafu linarejea tena!! Ikiwa na wachezaji wao wote nyota,mikia fc wamekalia vinne taslimu kutoka kwa mtibwa sugar Karibu ni tena vpl...
2 Reactions
26 Replies
4K Views
Enzi zake akiwa kocha chipukizi, ilikua kawaida kwa Wenger kuwasha ka fegi pale mechi ilipokua inamuendea vibaya..sikuizi kawaida yake ni kupiga mateke chupa za maji.. Wakina Jack Wheelchair na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Umofia Kwenu wana JF, Katika ufuatiliaji wangu wa TV za East Africa nimeona kuna vipindi vya reality jokes vinashika chati sana kwenye TVs,Punk'ed ndio ilifungua njia lakini wachache sana...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kocha mmoja aliwahi kusema football is like that, sometimes like your mother and sometimes like your step mother Amiss Tambwe ambaye aliwahi kung'ara na kuwa lulu ya simba msimu mmoja uliopita...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Ratiba ya 16 Bora ya Ligi ya Mabingwa imepangwa huku Arsenal na Chelsea zikipangiwa kucheza na timu za Ufaransa. Manchester City imepangiwa kukipiga na Barcelona, moja ya mechi...
0 Reactions
1 Replies
925 Views
Jana nilimbetia Sporting Cristal live dakika ya 85 alikuwa anaongoza 2-0 nikampa win nikaweka 100 000. Juan Aurich wakachomoa dakika ya 89 na 90. Mechi ikaisha 2-2. Ilikuwa napata faida shilling 2000.
0 Reactions
0 Replies
918 Views
Mchezo unaofuata, Desemba 16:- NUSU FAINALI Cruz Azul v Real Madrid
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwanza Nina Furaha Iliyo Ya Ajabu Ya Simba Kuibuka Kidedea Leo Na Nakumbuka Wiki Iliyoisha Niliwatahadharisha Wana Yanga Humu Kuwa Wasithubutu Hata Kwenda Uwanjani Leo ILA Kama Kawaida Yenu Mkaona...
8 Reactions
51 Replies
9K Views
Ina maana Afrika hakuna wachezaji wazuri mpaka Maximo azoe wambrazili wenzake kuja kuharibu mpira wa Bongo? Ana ukabila
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Shirika la kupambana na utumiaji wa madawa ya kuongeza nguvu nchini Uhispania lilimfanyiwa uchunguzi mshambuliaji hatari Lionel Messi ambaye amefunga Hattrick 3 katika mechi 4 za mwisho.Shirika la...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
TFF sasa mumezidi, kwann game ya leo ya NANI MTANI JEMBE isionyeshwe live! ina maana kuwa mechi hii ingeoneshwa live mngekosa mapato ya uwanjan? Ttupen sababu zilizosababisha hii match isioneshwe...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Aliyekuwa anatoa maboko kila leo palestaz amechaguliwa kuwa mchezaji bora tz,na chama cha waandish wa michezo..pesa hii
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nakumbuka enzi hizo mchezo wa mpira wa miguu sheria zikikanyagwa na wababe. Mfano tulioishi vijijini tumejionea mengi. Unakuta mtu anaanua mpira halafu anamkanyaga mwenzake matakoni, au anampiga...
0 Reactions
0 Replies
669 Views
kama mdau na shabiki wa yanga nmeanza kukosa imani na kocha maximo kutokana na misimamo yake ambayo mi naiita ya ajabu maana nahisi kama anawatenga wchezaji fulani nakuwapa kipaumbele badhi ya...
2 Reactions
50 Replies
5K Views
tuliwaambia ndugu zetu acheni ulevi hamkuskia ona sasa mmelewa hadi mmeshindwa kucheza mpira...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
nimetazama juzi hii channel iko vizuri kuna local play inaitwa Isabela i like it na vipindi vya kilimo cha kisasa very good channel.....
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM MSHAMBULIAJI Daniel ‘Danny’ Davis Mrwanda amesaini Mkataba wa mwaka mmoja kuichezea Yanga SC akitokea Polisi ya Morogoro. Mrwanda aliyewahi kuwika Simba SC...
0 Reactions
25 Replies
8K Views
Yanga wamezidisha mchezaji 1 wa kimataifa anatakiwa aondoke mmoja,ingawa mi naona aondoke hamis kiiza we waonaje?
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Jamani yaani hata aibu hawaoni kinachoendelea hapa hakielewekikl kabisa mnashindwa nn kujifunza kutoka ulaya??? Mbn ni vitu vya kawaida kabisa yaani hovyo hovyo tu ukumbi umepambwa kama wa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom