Kuna uwezekano mkubwa wa Ngasa kuchukua tuzo hiyo endapo wachezaji Bel Elhed na Ndombe hawatafunga katika fainali ya mwisho itakayozikutanisha timu zao za El setif na Vital club.Tumuombee...
Baada ya hivi karibuni Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kukumbwa na kashfa ya matumizi mabaya ya fedha zake kufuatia kuibuka kwa mvutano kati yake na klabu za ligi kuu, mapya yamezidi kuibuka...
Mabao yake mawili aliyoyafunga leo dhidi ya Ajax kwenye UCL yamemfanya Messi aifikie rekodi ya mabao kwenye UCL ya Raul Gonzalez. Christiano Ronaldo alishindwa kufanya hivyo juzi na kubaki na...
Mwanasheria Damas Ndumbaro amesema TFF haina Mamlaka dhidi yake na kuainisha kuwa kama alikuwa na makosa kuvitetea vilabu
vya ligi kuu,TFF ingepeleka malalamiko kwenye kamati ya maadili ya...
SInce Hasheem Thabeet entered the NBA in 2009, he has failed to live up to the acclaim that comes with being the second overall pick. He has played for four different teams in five season, posting...
Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Mart Nooij ametangaza kikosi cha wachezaji 24 kwa ajili ya mechi ya kalenda ya Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) dhidi ya Swaziland itakayochezwa Novemba...
Wanyama's 40-yard effort as illustrated by our brilliant Match Zone. Click here to see all the stats from the game at the KC Stadium
Wanyama celebrates after scoring the only goal of the game...
Southampton's Kenyan midfielder Victor Wanyama (centre) is congratulated by teammates after scoring the only goal of the English Premier League football match between Swansea City and Southampton...
Borussia Dortmund club yenye mafanikio baada ya Bayern Munich. Ikiwa na kocha aliyefanya vizuri miaka mi5 iliyopita. Jurgen Klopp, ameipa BvB ubingwa wa ligi mara mbili mfululizo, FA ya ujerumani...
Hivi karibuni mwenendo mzima wa timu ya simba ktk ligi kuu ya vodacom umekuwa si mzuri huku tukipewa sababu lukuki za kipopoma ila kwa uchungu wangu na mapenzi kwa mnyama leo nafunguka kisawasawa...
George Oppong Weah ndiye mwanasoka pekee barani Afrika ambaye ameshatwaa Tuzo ya Fifa Mchezaji Bora wa Dunia ambayo siku hizi inatambulika kama Ballon d'Or. Pamoja na mafanikio hayo, hakuwahi...
Hating on Diamond
By Steven Kisuli Muendo Updated Friday, October 24th 2014 at 09:59 GMT +3
0 inShare
Even as Tanzanian star Diamond Platinumz emerged the top earning foreign artiste during...
Mchezo wa raundi ya sita, Ligi kuu Bara ulioahirishwa jana kutokana na uwanja kujaa maji unarudiwa leo hapa Mkwakwani.
Mpira umekwisha, Mgambo wanaibuka na ushindi wa goli 2-1 na kupanda hadi...
A hype before
Uganda Attracts Investment From Jay Z, Kenya Has Attracted 2 Chainz And Now Tanzania Has Attracted T.I
October 17, 2014
Kenya has managed to attract 2 Chainz which is a very...
Morocco ni mwandaaji wa Michuano ya Kombe la mataifa Afrika 2015
Serikali ya ufalme wa Morocco itakutana na maafisa wa shirikisho la soka barani Afrika,CAF kwa ajili ya kufanya uamuzi kuhusu...
Ujio wa kocha Patrick Phiri ulileta faraja kubwa miongoni mwa mashabiki wa timu ya soka ya Simba SC a.k.a Mikia FC au Dar United iliyomaliza katika nafasi ya Nne msimu uliopita.
Aidha usajili wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.