Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
TANZANIA YAPOROMOKA FIFA: "Tanzania yashuka kwa nafasi 5 na kuwa ya 115 katika viwango vya ubora Fifa vilivyotolewa leo. Uganda ya 79, Kenya 111. Germany kinara, Holland 4."...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Timu hizi ni mzigo na hazina mipango endelevu zaidi ya kudorore soka LA Tanzania. Hizi ni timu kongwe lakini hazina hata uwanja wa mazoezi kwa miaka yote ya uwepo wao. Hizi timu zinamiliki club...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Umofia kwenu wana JF, Kama unakamata DTV angalia mashindano ya michezo yanayofanyika morrocco live.
0 Reactions
2 Replies
704 Views
TRAILER – Westgate Mall Attack Documentary To Premiere on HBO By Richard Kamau | August 28, 2014...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Pazia la Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara linafunguliwa leo kwa mchezo wa Ngao ya Jamii kwa wakali wa Jangwani Yanga SC kucheza na timu ya Azam FC kwenye dimba la Uwanja wa Taifa kuanzia majira...
8 Reactions
467 Replies
45K Views
Naelekea morogoro nataka kuona mechi kati ya mtibwa na yanga nataka kununua tiketi kwa m pesa naomba nielimishwe unanunuaje mwenye kuelewa mfumo huo anieleweshe tafadhari.
0 Reactions
0 Replies
891 Views
Nilikuwa naangalia baadhi ya magoli na muda si mrefu nikapata uhakika kwamba yule kijana jaja alikuwa kijana wa kipekeee katika yote hayo amevunja tena rekodi ya miaka 20 kwa goli lake la pili...
2 Reactions
19 Replies
4K Views
Paradoxically for a man who keeps making history, Floyd Mayweather regards the past as another country, a place he has little interest in visiting, often with good reason. Nevertheless, he wants...
3 Reactions
76 Replies
6K Views
Dar es Salaam. Waziri Mkuu Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Tatu, Frederick Sumaye amesema uongozi wao ulikosea kimsingi kufuta michezo shuleni. Mwishoni mwa 1996, Serikali kupitia aliyekuwa...
0 Reactions
1 Replies
935 Views
Wakuu habar? habari ya ofisi nyingi ilikuwa ni jaja.. nilishawai kueleza juu ya watu wanavyoingia bila tiketi uwanja wa taifa kwa sh 2000 tuuu getin/police. Nashukuru TFF wamejali lalamiko langu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Peterson sorry for 'hurt I have Minnesota Vikings star Adrian Peterson said Monday that he is "not a perfect parent, but I am, without a doubt, not a child abuser." Peterson, one of the NFL's...
0 Reactions
0 Replies
521 Views
Kuna mambo ya kipimbi nayasikia sikia redioni na mtandaoni yanikwaza ile mbaya kuhusu hii Yanga yetu. 1. Yanga kuvunja mkataba na Okwi. 2. Okwi kwenda Simba. 3. Jaja hajui soka na kweli...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Jamani mimi siilewi kuhusu mchezo wa mieleka kwani naona kama wanaigiza kwasababu mtu unakuta anapigwa mpaka na viti alafu anashinda naona kama Jet Lee akiwa anapaa na kumpiga jambazi
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mnamkumbuka Abullah Mrisho aliyechezea timu ya Simba Ssports mwaka 1977 hadi 1979? Alizaliwa mwaka 1954 mkoa wa Morogoro, Kilosa. Haya ndiyo maisha yake anayoishi na hapo ndipo nyumbani kwake...
3 Reactions
16 Replies
9K Views
Jana watangazaji walisema Yanga mpinzani wake ni timu ya Azam sio Simba tena sasa hivi Simba ni kama Ndanda fc. Naombeni Yanga mkubwa mwenzako anashushwa thamani Azam atampotezea Simba katika...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Nimepata habari zilizo na uhakika kuwa mfadhiri wa hiyo timu amepanga kugawa pointi 6 kwa Azam na 6 kwa Simba eti kumkwamisha Yanga katika harakati kuwania ubingwa. Kwa mpango huo ndio mwaka jana...
0 Reactions
2 Replies
942 Views
  • Closed
Wivu hufanywa na wanawake wasiofanya kazi au watoto wadogo ni mara nyingi Yanga huweka kambi bagamoyo au Pemba na Simba huweka Unguja sasa leo hii wanawaiga yanga eti wanaenda Pemba. Nawauliza...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Benki ya NMB, yenye makao yake mjini Dar es Salaam imeingia mkataba wa udhamini na mabingwa watetezi wa Ligi Kuu, Azam FC. Taarifa zilizopo kuhusu mkataba huo haziweki wazi kuwa mkataba ni wa muda...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
KOCHA wa Yanga, Marcio Maximo na kiungo Mbrazil, Andrey Coutinho, wamewasikia Simba kisha wakacheka sana, unajua kwanini? Simba baada ya kumuona straika,Genilson Santos ¡®Jaja¡¯ juzi Jumatano...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Fuatilia uzi huu kupata matokeo ya mechi hii live kutoka uwanja wa taifa kikosi simba 1.ivo 2.cholo 3.hassan isihaka 4.joseph owino 5.abdi banda 6.willian isihaka 7.awadh juma 8.shaban kisiga...
1 Reactions
93 Replies
14K Views
Back
Top Bottom