MFARANSA Patrick Liewig anatarajiwa kuchukua nafasi ya Mhindi, Vivek Nagul aliyeachia ngazi katika akademi yaAzam FC ya Dar es Salaam.
Katibu wa Azam FC, Nassor Idrissa Mohamed 'Father amesema...
wizara ya utamaduni na michezo moja kwa moja inashiriki kuhalibu maadili ya watoto kuruhusu mambo ya fiesta kufanyika hadi usiku pombe kurusiwa na kufanyika kwenye viwanja vya mipira eti kampuni...
Naona ndugu zetu wa Kenya wanameanza kampeni mapema...
cc: Jamal Malinzi
Ndugu wadau, mwisho ni tarehe 30/09/2014, nchi zilizokwishatuma maombi ni
"Kenya, Algeria, Ethiopia, Ghana, Mali na...
Ndio, hakuna namna nyingine unayoweza kuelezea soka la sasa zaidi ya hii, Ni katika kipindi hichi ambapo inawezekana kumuona Luke Shaw akiwa na miaka 19 tu...
Season: 2014-2015
Saturday 20 September 2014
LIVE
12:45
QPR v Stoke
Loftus Road Stadium
This fixture was previously scheduled on Saturday 20 September 2014 at 17:00 but was rescheduled...
leo nimeona kwenye gazeti moja kuwa kibali cha okwi kimechelewa kutoka uhamiaji tunamsubiri msemaji wetu wa simba G nyange a k a kaburu atatuelezaje maana huu ni uzembe wa viongozi kutowasilisha...
England imetangazwa kuwa mwenyeji wa nusu fainali na fainali ya michuano ya Euro kwa mwaka 2020, Uwanja wa Wembley ndiyo utakaohusika.
Wembley Stadium will...
sisi wapenzi wa timu yetu bora hapa nchini namuonea huruma kaburu kumsikia kila mara kusema habari za simba nauliza hakuna msemaji wa simba au tumebadilisha mtindo siku hizi
Phoenix police officers escort Arizona Cardinals running back Jonathan Dwyer following his arrest.
The Arizona Cardinals running back Jonathan Dwyer head-butted his wife and broke her nose after...
Nimefuatilia sana mashabiki wa Arsenal nikagundua kuwa ni watu wakulalamika sana tena wakimsonga Wenger. Mfano mwaka jana walilalamika pale mwanzo wa ligi kisha wakatulia mpaka baada ya sikukuu za...
kwa matokeao hayo ya UEFA CHAMPS na EUROPA LEAGUE kati ya timu za Bundesliga vs EPL hipi ni ligi bora zaidi?
B. DORTMUND 2 ARSENAL 0
B. MUNICH 1 MAN CITY 0
CHELSEA 1 BAYER 04 LEVERKUSEN 1...
Suleiman Nyambui / Katibu mkuu wa Chama Cha Riadha Tanzania
Kampuni ya SYMAITON SAPALI & CATHY CATERING imewaburuza viongozi wa Chama Cha Riadha Tanzania RT kwa deni la Tsh: 20,000,000...
SItaki kuamini kama Azm fc,inamashabiki wa kweli, Minachofaham mashabiki wao ni wa kununuliwa au ni wafanyakazi wa Pale Azm complex yaani wana maslahi na timu.
Ninachofanya ni kuwapa pole kwa...
Timu ya mpira inayojumuisha vijana masikini, mayatima na wasiokuwa na makwao kutoka Cameroon wamesilimu pamoja na kocha wao na priest mmoja aliyekuwemo kwenye kikundi hicho huko Dubai.
Ni vijana...
Dar es Salaam.
Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2014/15 itaanza keshokutwa huku ratiba ya ligi hiyo ikizipa nafasi za kusafiri umbali mfupi zaidi timu za Ruvu Shooting, Azam na Yanga wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.