Rais wa Argentina mama Christina Ferdinadi alipoulizwa anajisikiaje nchi yake kushndwa kuchukua kombe la dunia,alijibu YEYE SIYO MSHABIKI WA MPIRA.
Akaulizwa kuhusu MESI kuchukua mchezaji bora...
C.RONALDO AUZA KIATU CHAKE CHA DHAHABU KWA AJILI YA KUISAIDIA GAZA (PALESTINE)
"C.RONALDO ASEMA, SIO LAZIMA UWE MUISLAM ILI KUITETEA GAZA BAADA YA KUKATAA KUBADILISHA JEZI KATIKA MECHI DHIDI YA...
Dreams from Divock Origis father come true
Belgium's Divock Origi celebrates with defender Daniel Van Buyten (L) after scoring against Russia during their World Cup Group H match at the...
KLABU ya Yanga imeingia makubaliano ya kununua nyumba za Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF), kwa ajili ya wachezaji wake kupitia program maalumu.
Akizungumza katika hafla ya utiaji saini...
Timu ya taifa ya Tanzania
Kituo cha Kimataifa cha Ulinzi wa michezo (International Centre for Sport Security) wiki hii kitatoa elimu kuhusu kupiga vita upangaji wa matokeo kwa wanamichezo vijana...
Kura za maoni zilizopigwa na wasomaji wa gazeti la AS zimempa ushindi wa mpira wa dhahabu mshambuliaji chipukizi wa Colombia James Rodriguez. Binafsi naungana na wasomaji hao kumtunuku...
Lionel Messi ndie mchezaji bora wa Kombe la Dunia 2014 kufuatia kutajwa baada ya michuano hiyo kuisha juzi Jumapili na Ujerumani kuibuka washindi kwa kuwafunga Argentina.
Kupewa kwake tuzo hiyo...
Habari kutoka Uingereza zinasema kocha wa Chelsea, Mourinho, ambaye ndiye aliyempeleka Drogba Chelsea hapo mwaka 2004, anataka mshambuliaji huyo wa Ivory Coast mwenye umri wa miaka 36 kwa sasa...
Brazil inasemekana kujaribu kumshawishi Maurinho, kocha wa Chelsea, ili akabidhiwe jukumu la kukifundisha kikosi cha timu ya Taifa ya Brazil, lakini Maurinho amekataa na kudai asingependa kuiacha...
Sikuamini macho yangu jamaa alipokuwa ametabiri ushindi wa Germany. Ametabiri kwa usahihi muda wa goal na matokeo Germany 1 - 0 Argentina. Ni uchawi ama kipaji? Watangazaji wa Super Sport wabaki...
Ten things we learned from the 2014 World Cup
1.Jurgen Klinsmann apparently knows what he's doing, even if he has a blind spot regarding Landon Donovan.
The U.S. survived the Group of Death...
Fifa has announced the shortlist for the 2014 Golden Ball, the
prize awarded to the best playeru Fifa has announced the shortlist for the 2014 Golden Ball, the
prize awarded to the best player...
Manuel Neuer (Germany);
Philipp Lahm (Germany),
Mats Hummels (Germany),
Ron Vlaar (Netherlands),
Danny Blind (Netherlands);
Bastian Schweinsteiger (Germany),
Javier Mascherano...
Di Maria anayechezea club ya real Madrid pamoja na Ronald wakati akiwa anachezea Argentina anacheza na Messi.Kati ya hawa wawili Di Maria anaperform vizuri akicheza na yupi?
Fifa World Cup Brazuca Ball and Trophy 2014
Josh Kennedy's doppleganger, the iconic Christ the Redeemer statue in Rio de Janeiro, presides over another green and gold horde ahead of the 2014...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.