The Catalan giants will imminently announce the capture of the Uruguay star after agreeing to meet the release clause inserted in the striker's new Liverpool contract last December
By Wayne...
Eric Wainaina, Iddi Achieng to perform in Atlanta
Award winning Kenyan musicians Eric Wainaina and Iddi Achieng will be in Atlanta this weekend for the eagerly awaited music extravaganza dubbed...
Kuna uvumi mitaani eti iwapo matokeo ya mechi ya leo kati ya Germany na Brazil yakibaki kama yalivyo itapelekea Tanzania kupanda viwango vya fifa kwa ubora.
Anayelifahamu hili amwagike hapa tuelewe.
Nyota wa Brazil Neymar jana alivunjika uti wa mgongo baada ya kugongana na mwenzake dakika tano kabla ya mechi na Colombia kuisha na Brazil kushinda bao mbili kwa moja.
Pia watamkosa beki Thiago...
Waandamanaji huenda wakarudi njiani kufuatia kipigo cha timu yao ya taifa cha saba kwa moja toka kwa Wajerumani. Wachambuzi wa mambo walitazama mafanikio ya timu ya taifa ya Brazil kama sababu ya...
Wapenzi wa WWE wrestling tupeane updates kuhusu WWE inavyoendelea. Baada ya +Payback) John Cena kumshinda Ryback in three stages of hell, Sasa watu wanaelekea katika pay-per-view ya Money in...
Beki wa Colombia Zuniga amewasilisha barua ya kuomba msamaha kwa wazazi wa Neymar na chama cha soka cha Brasil na wapenzi wa soka duniani kwa niaba ya Neymar.
Beki huyo wa kushoto alimfanyia rafu...
Timu iliyoanzishwa karibu miaka 70 oliyopita kukosa uwanja wa mazoezi ni aibu isiyoelezeka cha ajabu viongozi bado wanang'angania eneo la Jangwani wakati ishajulikana kwamba ni hazard area...
mchezaji wa zamani na rais wa heshima wa real madrid alfredo di stefano amefariki dunia baada ya juzi kupata mshtuko wa moyo na kuwahishwa hospitali ambako alikuwepo intensive care unit.di...
Siku chache baada ya kuanza kuifundisha timu hiyo, Maximo amesema hakuja kumfunga mtani wake wa jadi Simba kwa kuwa hayo si mafanikio timu hiyo inayohitaji
Nipashe Julai 5
Nimepita maeneo ya uwanja wa taifa leo jioni nimeshangaa, kumbe shamba la bibi nalo linawekwa paa!, jitihada nzuri hii. Kumbe watu wanafanya mambo yao kimya kimya na kimya kingi kina mshindo...
Kwa kifupi zimebaki timu nane ili tumjue bingwa mpya wa Kombe la Dunia baada ya Spain kutupwa
nje ya mashindano haya....Nani atambeba mwali huko Brazil???
N:B CHAGUA TIMU MOJA TU
Binafsi...
Waandishi wa habari wa namna gani tanzania!!? LEO KWENYE GAZETI LA MICHEZO CHAMPION WAMEANDIKA HABARI ZA AJABU ETI COUTINHO ANOGEWA SEMBE,UBWABWA YOUNG SC,TUPIME AKILI ZA WAANDISHI WETU JINSI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.