WAWAKILISHI wa Tanzania katika michuano ya CECAFA Nile Basin Cup, Mbeya City fc wameaga mashindano hayo baada ya kufungwa bao 1-0 dhidi ya Victoria University ya Uganda katika mchezo wa robo...
Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Dokta Damas Daniel Ndumbaro amefichua siri na kusema yeye ni mwalimu wa Michael Richard Wambura.
Ndumbaro amesema Wambura ni mwafunzi wa sheria mwaka wa...
Mnamo may 11 wakati ligi kuu ya England inafungwa,mchezo kati ya swansea city na sunderland uliniacha katika mshangao baada ya kukuta jina la mchezaji adam kingwande katika benchi la swansea city...
http://2.bp.blogspot.com/-jreaL3HN9X4/U4dom--E6fI/AAAAAAAA-sw/mE5nub2ds_I/s1600/bocco+na+kapombe.jpg
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM
HATIMAYE klabu ya Azam FC imefanikiwa kumsajili, beki...
Dar es Salaam. Mbeya City imetinga robo fainali ya michuano ya Nile Basin inayoendelea nchini Sudan baada ya kutoka suluhu na Enticelles ya Rwanda juzi usiku katika Uwanja wa Khartoum, Sudan...
Kikosi cha Brazil kilichoongozwa na mchawi wa soccer Pele
Italy German Argentina Uruguay France Hispania England
Kwa kipindin cha miaka 83, fainali za Kombe la Dunia zimefanyika mara 19, lakini...
Zikiwa zimebaki takribani wiki mbili kabla ya kuanza michuano mikubwa ya kabumbu duniani.Huku mashabiki wa soka tumekuwa tukifanya maandalizi ya ili kuweza kushuhudia michuano hiyo.Binafsi sina...
Uchunguzi wa shirikisho la soka la Italia umebaini kuwa mchezaji tineja wa Cameroun Joseph Minala ana umri wa miaka 17 wala sio 42 kama ilivyodhaniwa na kuripotiwa katika vyombo vya habari...
Umati wa wanachama na wapenzi wa simba, waliofika klabuni hapo jana mchana, na kushinikiza Wambura arudishwe kwenye uchaguzi, au wapewe sababu za Wambuea kuenguliwa!
Je, Wambura kweli hastili kwa...
The Reds have made an offer for the England international that could rise to £9 million as Brendan Rodgers looks to supplement his first-choice attacking line of Luis Suarez and Daniel Sturridge...
Alivuna zaidi ya Tsh 24 million za madafu kwa kila sekunde aliyokuwa akimpa makonde Maidana manamo tarehe 3 machi,2014 huko Las Vegas, USA.
, ikizingatiwa kuwa kwa sasa dola moja ya marekani ni...
That time we have been waiting is today! Nani atalitwaa kombe?
Msisimko unaweza kuwa sio mkubwa sana kwa kuwa wachezaji walioko national teams watakuwa wakicheza kwa tahadhari ili wasiumie...
Kocha Julio akiwa katika harakati za kugombea nafasi ktk chama Simba,amepotelewa na cheti chake cha form four.Hii inampa wakati mgumu mgombea huyu kutokana na vigezo vya kugombea ktk club hiyo.MY...
the Qatar Islamic Cultural Center lists some specific dos and don'ts for would-be visitors:
Men should not go shirtless, and women should not wear leggings as pants. There are also some...
Hivi huyu jamaa ana matatizo gani kiasi cha kuelekea kukataliwa kila aendako? TFF, Mara na sasa Simba kote wanaonyesha kutokumtaka.
Wanaomjua vizuri hebu tujuzeni.Kulikoni?
Jamani kama umefuatilia tuzo za VPL jana,kuna kitu kilicho nishangaza hasa tuzo ya Mchezaji bora wa ligi et ni Tchetche wa Azam. kulingana na watu aliopambanishwa nao akina Matogolo ni halali yake...
Miaka nenda rudi tumepata kushudia mastaa vinara katika ulimwengu wa soka ambao walikwepo, na wengine ambao bado wanatesa na wengine chipukizi kati ya hayomajina ni nani unamkubali kuzidi wengine?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.