Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
wasalaam napenda kuuliza hivi wachezaji wa akiba kwenye ligi ni wangapi wanaopaswa kuingia??
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wana JF... Tafadhali mwenye kujua maendeleo ya Rufaa ya Ndg. Michael Wambura kuhusu Urais wa Simba atuwekee hapa. Ninazo taarifa kuwa Kamati ya Rufaa ya TFF ilikaa jana mpaka saa sita za usiku...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Jamani mabingwa wapya Dar Young Africans SC nawaomba muweke majina kwenye jezi zenu maana ni mtindo wa kwawaida na wa kisasa duniani kote,nyinyi ni mabingwa nasi wapenzi tungependa iwe hivyo,siyo...
1 Reactions
42 Replies
4K Views
natumai mtakuwa na asubuhi njema wanajamvi,eti nataka kuuliza kwamba je wachezaji ulaya huwa wanapata posho kipindi cha msimu kwa ligi kuu na uefa champions league na ni kiasi gani kwa anaejua? na...
0 Reactions
2 Replies
918 Views
Wadau naomba msaada wenu, package gani ambayo naweza kupata gemu zote za world cup . Nataka kulipia ila nataka package ya bei ya chini kuliko zote. Ahsanten
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nilimuelewa Azim Dewji jana, kwa maoni yangu na uelewa wangu hapa kuna jambo kubwa sana katika hivi vilabu, hivi mwenye pesa huombwa pesa? Au hulazimisha watu kumomba pesa, nashangaa Azim kusema...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
kuna msemo wa kizungu unaosema"JUSTICE DELAYED IS JUSTICE DENIED" kwanini nasema hivi ndugu wambura aliwakilisha rufaa yake huko tff takribani wiki mbili sasa, na eti jana ndio kamati imekaa...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wana JF na wapenzi wa Simba,kuna hili sakata la mchezaji wa zamani wa Simba(Shomari Kapombe)kusajiriwa na Azam akinatokea Ufaransa alikopelekwa kwa mkopo ili akuzwe kisoka kwa makubaliano kwamba...
0 Reactions
49 Replies
5K Views
Wakati tukielekea Brazil kwenye kombe la dunia, mwanasoka wa Italia mwenye vituko nje na ndani ya uwanja Mario Balotelli amevihakikishia vyombo vya habari Jumanne kupitia akaunti yake ya Twitter...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Clouds ni wasanii sana eti wamempigia mtu mmoja na kumtaarifu kwamba ameshinda ticket ya kwenda Brazil lakini jamaa akakataa kwasababu anauguliwa na wazazi wake hivyo nafasi ya Brazil imekosa mtu...
1 Reactions
67 Replies
8K Views
Mtamkoma habari zilizotufikia punde ambazo so mzuri hasa kwa kundi la aveva na hanshope mh sa amerejeshwa uchaguzini sty tuned
0 Reactions
41 Replies
5K Views
Hii ndo ratiba ya kombe la dunia kwa masaa ya kibongo. Tarehe zimebaki za kibongo ili kusiwe na mchanganyiko na mtafaruku kwa wengi. Namaanisha mechi ya za sita usiku, saa saba au saa kumi...
2 Reactions
0 Replies
5K Views
Mwananchi, Jumatatu 9 Juni 2014Mphamvu Daniel Habari iliyopamba vichwa vya magazeti wikiendi hii ilikuwa ni taarifa ya udhamini mnono iliyoupata klabu ya Mbeya City kutoka kwa kampuni ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
naomba mnijuze wakuu kuhusu hili.je ref wa kimataifa anatakiwa ajue lugha zote au vipi nakumbuka kuna mechy ya brazil howard mebb alikua in charge sasa kuna kipindi nilimchek thiago silva...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
The Cameroonian national team was scheduled to board a plane from Yaoundé to fly to Brazil for the 2014 World Cup Sunday morning, but the team refused to board over money issues. According to the...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Na edo kumwembe BADO Napata wakati mgumu. Nafungua magazeti ya Ulaya nayasoma huku natabasamu. Halafu baadaye nafungua magazeti ya nyumbani huku nakunja sura. Na hasa linapokuja suala la...
5 Reactions
24 Replies
5K Views
Naomba kujua matokeo ya TP Mazembe jamani,wamecheza jana na wale wa Egypty sijui wanaitwa Zamalek
0 Reactions
5 Replies
5K Views
-Hukumu ya rufaa iliyokatwa na mgombea wa nafasi ya uraisi wa timu ya simba ndugu Richard Wambura inatarajiwa kutolewa leo, ambapo jopo la wanasheria na watu wengine wa michezo wenye ueledi wa...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom