Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
Walio wengi tunafahamu jinsi hii timu ya watoto wa mitaani ambayo imefanya maajabu ya dunia hadi kubeba KOMBE LA DUNIA lililohusisha watoto hao. Tangu timu hii ilipoanza kufanya maandalizi yake...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
kikosi hakina mabadiliko.. Muda: 16:00 Jioni Uwanja: Mabatini kibaha Kikosi cha azam fc dhidi ya ruvu shooting... Team today 1. Aishi Manula 2. Erasto Nyoni 3. Gadiel Michael 4. David...
0 Reactions
109 Replies
10K Views
Naangalia mahojiano kati ya kijana mmoja yuko LONDON na SHAFII DAUDA katika kipindi cha SPORTS BAR YA CLOUDS TV kupitia skype. Huyu kijana ni mtanzania alikuwa anacheza mpira na ameshiriki COPA...
0 Reactions
49 Replies
4K Views
Nimebet M-bet... Jana inakuwa hadi leo cjapata wakati ubashiri wangu nimepatia ila cjapata kitu...nisaidien hii inakuwaje.!
0 Reactions
3 Replies
850 Views
Watch WWE Wrestlemania 30 ... [LIVE~STREAM] WWE WRESTLEMANIA 30 2014 ONLINE FULL EVENT | GIMP ... GIMP WWE Wrestlemania 30 2014 Live Streaming Watch Online Free Watch WWE WrestleMania 30 Live...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Hahaha!!!!!!! Wakuu habri zenu nina furaha kubwa sana kuiona man u ikiwa katika heka heka za kucheza au kutokucheza kabxa europa leage. Kwa sasa mech zake ztakuwj alhamis na ijumaa, au kwa lugha...
0 Reactions
6 Replies
981 Views
Ukitaka kujua ujuzi,umuhimu na uimara wa Lionel Messi aka Andunje,basi subiri FC Barcelona iwe kwenye wakati kama wa leo.Wakati ambao wanatakiwa kushinda tu na si vinginevyo. Katika mechi ngumu...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Ngasa njaa ndiyo ilimfukuza simba na kuja yanga
0 Reactions
16 Replies
2K Views
"Jeuri yaiponza Yanga kwa mahakama" "Mahakama Kuu Kitengo cha Kazi wameiamuru TFF kuikata Yanga Sh106 milioni" Dar es Salaam. Sakata la Yanga na wachezaji wake Stephen Malashi na Wisdom...
0 Reactions
2 Replies
764 Views
Mbwiga Mbwinguke, mkora nyani kibwaya mkia, Midfield kisheti! Nazitupa tu huku kule halafu naziomba, ni mchakamchaka tu, sako la nani hilo ngedere haponi. Sasa ngoja nikupe kosi...
1 Reactions
8 Replies
6K Views
Wadau oneni wenyewe tabia za wachezaji wa chelsea. John Terry,mmmh hilo jicho linatizama wapi? Terry na lampard wakifanya yao. Luiz naye anamfanya nini mwenzie? Cahil hadi kamshika...
0 Reactions
5 Replies
19K Views
Leo Jumanne majira ya saa 21:45 kwa muda wa Afrika Mashariki kutakuwa na michezo miwili ya klabu bingwa ulaya. Mechi ya kwanza ni kati ya Chelsea Vs PSG ambayo itachezwa katika dimba la Stamford...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
katika gazeti la mwanaspoti kuna habari kuwa okwi aligoma kufanya mazoezi na klabu yake ya yanga siku ya jumanne akishinikiza amaliziwe fedha yake ya usajili. Okwi alisajiliwa kwa dola 100,000...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
By GILBERT WANDERA Nairobi- A Kenyan businessman has given Tanzanian club Yanga a one week ultimatum to refund $20,000 (Approximatley Sh1.6million) over an alleged breach of contract. The...
0 Reactions
0 Replies
906 Views
Nimeshtuka sana leo asubuhi, baada ya kusikia taarifa katika kituo cha RFA kipindi cha MATUKIO -michezo kuwa Jamal Malinzi Rais wa TFF atatoa pesa zake mfukoni kufidia malipo ya kukatisha mkataba...
8 Reactions
132 Replies
9K Views
Jana nilikuwepo uwanja wa Taifa wakati Yanga na Jkt ikicheza kwa 5 na 1 jkt Ni mwanachama makini wa yanga, kilichonishangaza ni pale tulipokuwa tunatoka nje kikundi cha yanga burudani/...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wanajamvi habari za Asubuhi. Mimi niseme wazi kuwa ni mshabiki mkubwa wa timu ya Arsenal kutoka jiji la London. Nimekuwa mshabiki kwa muda wa miaka 15 nusu ya miaka yangu yote niliyoishi duniani...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
WrestleMania 30 results Hulk Hogan, "Stone Cold" Steve Austin and The Rock opened WrestleMania 30 Brock Lesnar def. Undertaker John Cena def. Bray Wyatt Cesaro won the 30-Superstar Andre...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
For WWE fans: Yesterday (06-04-2014) night , Daniel Bryan, the leader of the YES YES YES Movement has won the WWE World Heavyweight Champion by convincingly beating Rand Orton and Batista in a...
0 Reactions
0 Replies
931 Views
Leo ndio Leo katika uwanja wa CCM Kambarage Shinyanga baina ya Stand Utd na Toto Africa ya Mwanza. Hii ndio mechi ya mwisho ya Ligi huku Stand ikiwa inaongoza ligi kwa tofauti ya point moja dhidi...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Back
Top Bottom