Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
The football greatest cheat is here seen practicing how to fake pain after a successful simulation!
0 Reactions
2 Replies
990 Views
hivi kwa nn india huwa hawashiriki kombe la dunia,naomba majbu wanajf.
0 Reactions
3 Replies
990 Views
  • Closed
ESPN imeripoti kuwa imepata habari kuwa Wenger atatangaza kuresign at 1200 GMT. NB- Ignore the typo, ilitakiwa kusomeka to resign rather not to resigned... ESPN ndo wanavyosema.
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Goals by Mcha Khamis and the back in form, John Bocco secured a 2-1 win for Azam over Simba in a Vodacom Premier League match at National Stadium on Sunday afternoon. The victory stretched Azam's...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Timu ya soka Al Ahly ya Misri imevurushwa kutoka Klabu Bingwa Barani Afrika baada ya kukandikwa mabao 3-2 na Al Ahli Benghazi ya Libya katika mechi ya pili iliyochezwa Cairo-Misri.Katika mechi ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
FULL-LENGTH MATCH - SmackDown - 41-Man Battle Royal - YouTube ninachoshangaa hawa watu mbona huwa hawaumii wakati vipondo ni vikali sana
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wenger still enjoys the unequivocal backing of Arsenal’s majority shareholder Stan Kroenke, who is in no doubt the manager will sign a contract that has been on the table for months. But...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Leo jumanne, Manchester united itakuwa nchini Greece kupambana na vinara wa nchi hiyo Olympiakos Piraeus ambao hawajapoteza mchezo hata mmoja kwenye ligi yao ya kichovu. Ikumbukwe manchester...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Kwa mwenye matokeo ya pambano lao atujuze wanajamvi
1 Reactions
2 Replies
2K Views
LEo wale wengi walojaribu kuchezea mchezo wa kubashiri matokeo ya mechi mbali mbal,wamejikuta ikila kwao baada ya the blues kupoteza,huku the gunners na Man city wakitoka sare na kuharibu kabisa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa wale wapenzi wa Arsenal waishio Marekani, Canada labda na Mexico Arsenal watazuru Marekani Summer hii. Watacheza mechi dhidi ya New York Red bulls July 26 kama sikosei ndani ya Red bulls...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Siogopi Liverpool.,ila nina mashaka san Man city kuchukua ubingwa. Imagine tupo mbele mechi mbili kwa Man city. I wish Man city wapoteze mechi kadhaa ila wanavyokuja napata mashaka.
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Ni jumatatu iliyo pita chelsea iliivunja rekodi ya Man City ya kutokufungwa katika uwanja wake wa Etihad na kuacha gumzo kubwa England baada ya timu ya Man City kufungwa mara mbili na Chelsea...
4 Reactions
155 Replies
14K Views
Wanabodi Habari za weekend. Naomba kuchukua Nafasi hii kuomba mtu yeyote mwenye Link ya kucheck Live gemu ya Man United vs Aston Villa aiweke humu ili tulio mbali na TV tuangalie leo Natanguliza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
habarini wanamichezo wenzangu! ikiwa ligi mbalimbali duniani zinaelekea ukingoni nimependa kushea nanyi baadhi ya mambo ninayo penda yatokee napenda AZAM achukue ubingwa VPL, napenda ATLETICO...
0 Reactions
0 Replies
622 Views
Wenger out? The leading candidates to replace the Arsenal manager, if he goes By Eurosport | Pitchside Europe March 25 2014 The terrifying scale of Arsenal's collapse against Chelsea at the...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Timu zote ninazozishabikia hoi mwaka huu! Taifa Stars - Kama kawaida niishazoea Simba SC - Sijui kwa nini Yanga wako bize kutuchukulia wachezaji. Bora wamchukue na Rage kabisa kwa kuwa ni...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Mpira unanogeshwa na vitu 2 tu:kwanza ni umahiri wa teams zinazochuana dimbani na pili ni umahiri wa refa wa katikati na ma linesmen wake!Siku hizi marefa wetu ni hovyo hovyo tu! Mimi naanza na...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Kwa anayefahamu naomba anijuze aliko mchezaji huyu.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ningependa kujua, nani mwingine kacheza mpira kwa kipindi kirefu kama mzee wa kiminyio hapa bongo. Kama sijakosea Madaraka alistaafu game na miaka 41.
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Back
Top Bottom