Kwetu sisi ni kazi tu kwa kwenda mbele tunataka leo mtoke mkijiumauma na kulia chelsea hatuna mchezo tutawashushia 7-0 leo ndo mtaona uanaume wetu tuwapo uwanjani kwanini tuandikie mate wakati...
Ndugu wapendwa! Salaam.Naomba msaada kwa wale wenye kufahamu shule nzuri za kufundisha watoto mpira wa miguu (Football) kwa watoto.
Nina mtoto wa miaka mitano wa kiume ambaye naona ana kipaji...
Ndugu wadau wa JF,
Iwapo FIFA itamtangaza Messi kama mchezaji bora duniani safari hii, basi ndiyo itakuwa mwanzo na mwisho wa kushabikia mpira wa miguu maisha yangu yote.
1 February 2014 CHAN 2014: Libya beat Ghana to snatch first African title
By Mohammed Allie BBC Sport, Cape Town
Libya claimed their first senior African title with a 4-3 penalty shoot-out win...
Wadau mapema sana tumefika uwanjani...hali ni ya Joto nadhan hali hii ni mbaya sana kwa Yanga hasa kwa kuwa wamezoea Baridi huko Uturuky na pia hawa bhanyambala naaambiwa huko kwao Jijin Mbeya...
Mashabiki wa timu ya Mbeya City wanaokadiliwa kuzidi mia nane(800)wanatarajiwa kuanza kuingia jijini Dar es salaam kuanzia kesho jumamosi kwa ajili ya kuishangilia timu ya Mbeya City.
Timu hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.