Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
Ndugu wanaJF, kwanza niipongeze sana timu ya Mbeya City kwa uwezo waliotuonyesha Watanzania kwa kuingia kwenye ligi wazima wazima na kutoa changamoto kwa timu kongwe, siziiti kubwa ila ni kongwe...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakati wambura anaongelea hili swala nahisi hamkumpanga vyema uwezi sematumepeleka machine m ikoani kwa ajili ya majaribio ya tkt za electronic na unapoulizwa vipi utaifa unaweka wazi nu...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Stoke City vs. Manchester United: Live Stream
0 Reactions
2 Replies
976 Views
Live updates: Simba 4-0 JKT Oljoro: FT Ashanti 0-2 Mgambo Stg: FT Key: NS = Match Not Started FH = 1st Half SH = 2nd Half FT = Full Time
2 Reactions
153 Replies
11K Views
Nimekuwa Nikifuatilia haya matangazo ya magodoro, Tangazo la kwanza lilimuhsu Shomari Kapombe alipokuwa akikipiga Lunyasi, Tangazo la sasa linawahusu wachezaji Ramadhani Singano na Jonas Mkude...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
JAMANI Mnawakumbuka hawa? Majuu: Tore andre floo,lother mathews,Gabriel batistuta,juan sebastian veron,Roy makaay,luigi di biagia,roberto albertini,Christian vieri,bixente lizarazou,lilian...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nipo Tanga nitawaletea moja kwa moja kinachojiri kutoka uwanja maarufu wa Mkwakwani wadau wengine kama @mandieta, watu8, Makoye Matale kbm na wengineo tujumuike hapa Azam 1 Rhino 0 FT Mbeya...
3 Reactions
289 Replies
19K Views
RAIS Jakaya Kikwete amemshangaa Mwenyekiti wa Simba SC ya jijini Dar es Salaam, Ismail Aden Rage kwa kuitisha mkutano wenye ajenda moja kwa ajili ya wanachama wa klabu hiyo. Wiki iliyopita...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Leo kwenye uwanja Wa Kambarage kulikuwa na mechi ya Daraja la kwanza kati ya Stand Utd ya Shinyanga inayoongoza kundi kwa point 13 dhidi ya Kanembo Jkt ya Kigoma yenye point 12. Vurugu zimetokeoa...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Man City v/s Chelsea
0 Reactions
0 Replies
850 Views
Shirikisho la Mpira wa Miguu barani Afrika CAF leo tarehe 31 Januari 2014 limeupa kibali cha kuchezea mashindanoya kimataifa yanayoandaliwa na CAF uwanja wa Azam Complex Chamazi na kuufanya uwanja...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Inaonekana anajua sana anachokifanya kwa kukurupuka katika usajili..... Pale alipo vamia kumsajili Mbuyi Twite ikaonekana kama kwamba kweli amewini kwa kumzunguka Aden Rage kumbe Mbuyi Twite...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Saturday 1/2/14 Ashanti vs Mgambo - Azam Two Simba vs Oljoro - Azam One Sunday 2/2/14 Yanga vs Mbeya City - Azam one Azam vs Kagera Sugar - Azam two Wednesday 5/2/14 Jkt Ruvu vs Ashanti -...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Huyu kocha naona kaingia na mikwara sana kaanza mabifu na wachezaji wake..kaanza na Owino sasa naona na mwombeki naye yumo kwenye mkumbo..mi naona wakati mwingine makocha huchangia matokeo mabaya...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
How to Survive Las Vegas RUGBY SEVENS 31 January 2013...
0 Reactions
0 Replies
828 Views
Heshima kwako mkuu. Jana kupitia RFA nilikusikia (japo kwa kifupi) ukiwaelekeza vijana huko Mwanza kuthamini elimu, ni jambo zuri lakini nilifadhaika ulipotoa mfano kwa mchezaji wa Man City...
1 Reactions
38 Replies
3K Views
Tottenham vs Manchester City Live Stream
0 Reactions
53 Replies
3K Views
Hapa mtaani kwetu katika utafiti niliofanya nimegundua mashabiki wa arsenal wanaongea Sana, kwanza wanadhani wameshabeba ubingwa eti kisa wanaongiza ligi kwa tofauti ya point moja ambapo mda...
1 Reactions
47 Replies
4K Views
HATUTAKI, na tena hatutaki hata kusikia. Na ikiwezekana msirudi tena. Ndivyo ambavyo mapovu yamewatoka mdomoni watu wa Manchester United baada ya PSG kurudi mezani juzi Jumapili na ofa ya...
0 Reactions
3 Replies
811 Views
Katika Makala ya kuelekea Brazil Juma lililopita mtangazaji mmoja wa TBC alisema Nigeria imewahi kutinga Robo Fainali ya Kombe la Dunia mwaka 1994 na 1998! Sikuamini Kabisa chombo cha Taifa kiwe...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom