Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
Nini husababisha mashabiki wa Yanga yebo yebo kuzimia na kulia kila inapocheza na mnyama Simba? Steven shabiki uliyelia sana baada ya zile goli 5 za kipindi kile tuambie. Mwenye kujua ukweli...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
duuuuuuu simba noma kamla yanga hivihivi. mweeeeee
2 Reactions
91 Replies
44K Views
Kwa Yanga kuchukua kitita chote huku masharti yakiwa ni kupiga ulabu na kutuma vizibo vya lager nini tafsiri yake
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kama huamini angalia liverpool wameshinda 3 wapinzani wao 1. simba 3 wapinzani wao 1 , manchester united 3 wapinzania wao 1. yanga kama wangetaka ushind leo wangeomba simba wavae rang nyingine wao...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Gazeti maarufu la michezo lina Habari nyeti kuhusu rage kuwapigia magoti YANGA wakubali kufungika ili kupunguza gadhabu ya wanachama msimbazi aka mikia ambao wanatabia ya kung'oa viti vya uwanja...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Simba leo wamenifanya nifurahi kwa kumfunga Yanga wazeew wa mpira wa magazetini.Kiburi chote leo yanga kimewaisha. Ila msimamo wangu upo palepale kuwa nitarudi kuishabikia Simba pale Rage...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Simba 3 na Yanga O hii nayo habari Kubwa. :third::third:
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Leo Simba a.k.a. Wekundu wa msimbazi wamemwoshe yanga kuwa simba achezewi amemtafuna vitatu kwa moja
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ziliporejeshwa zile tatu wakasema walijiamini sana. Leo wamepigwa tatu moja kocha kasema walijiamini kupitiliza. Hivi nyie yanga,mnafikiri pale uwanjani mnacheza peke yenu hadi mjiamini namna hii...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Simba 3 Yanga 1 leo nina raha kamili
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Leo naona ni siku ya 3-1 wapenzi wa Simba/Liver/Man U ni full shangwe
0 Reactions
0 Replies
809 Views
Kwa wale wanaotegemea haitakuwemo hata katika top 4, wajue kwamwe utd haianguki kama flag inavyoonyesha hapa chini
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Kesho ndio kesho,mtani jembe inakamilika,Simba na Yanga ndani ya uwanja wa Taifa. Niseme wazi,mashabiki wa Yanga wanajiaminisha kwa kiasi kikubwa kuwa kesho anaenda kuibuka na ushindi mkubwa...
0 Reactions
36 Replies
5K Views
Mara ya kwanza yanga walishnda tatu lakini ilikuwa siyo hadhi yao.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Star TV hongereni kwa kutuonesha mpira SIMBA NA YANGA LIVE lakini baada ya saa kufika dk 60, ikaanza moja ni aibu, tangu vijana wa graphics wamekua feki itawagharimu, ajirini wenye uwezo
0 Reactions
3 Replies
990 Views
Maandalizi ya kufa MTU ya MNYAMA
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi sio mshabiki wa mpira wa mchangani lakini nimehudhunishwa mno na mafisadi wachache walioamua kununua tiketi zote za Tsh 5000, zinazotegemewa na makabwela, na kisha kuziuza mtaani katika soko...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
kati ya luis suarez na kun aguero.
0 Reactions
0 Replies
704 Views
Back
Top Bottom