Samahani wapenda nitakaowagusa na kuwachoma maslahi yenu.
Imefika sasa tuheshimu umuhimu na thamani ya binadamu na sio upumbavu na ujinga uliokuwa ukifanywa kwenye uongozi wa mh Tenga.
Nilikuja...
Kila mtu ana timu yake moyoni anayoipenda. Mi chama langu ni timu ya home, pamba a.k.a tp lindanda wanakawekamo. Si vibaya nikawakumbusha kikosi cha hatua za mwisho kabla hakijashuka daraja...
Mimi ni shabiki mzuri sana wa mpira tena shabiki wa ukweli wa Simba Sports Club. Tatizo tu ni kwamba sina kadi nikawa nashiriki ktk baadhi ya maamuzi ndani ya Simba, mfano uchaguzi wa Viongozi...
kiufupi ni kwamba timu ya yanga ni kama vile imeshatolewa kwani haina uwezo wa kuwatoa waarabu.
katika makundi hayo yaliyotangazwa na CAF ni kwamba yanga akifanikiwa kuwatoa wacomoro katika raundi...
Tunisian league side Etoile du Sahel has denied Uganda Cranes striker Emmanuel Okwi a move to another club.
The striker deserted the club over five months ago and claimed they failed to clear part...
Akizungumza na radio CLOUDS FM adai sport club villa imepata wapi nguvu ya kumuuza emanueli okwi kwan swala lao lipo FIFA.pia anasema yeye kachaguliwa na wanachama 1280 na tawi la MPIRA PESA lina...
Kuonyesha kuwa tupo makini na safu ya benchi la ufundi ikifanya kazi kwa umakini zaidi tumeamua kumsainisha Emanuel Okwi aliye maliza mkataba na timu yake ya zamani ya Simba Ta.04/07/2012 hivyo...
Ukiangalia ligi ya mabingwa ulaya hatua ya 16 bora,utaona England na German wana timu nne,wamewaacha Italy na Hispania
1.ENGLAND:Arsenal,Chelsea,Man u,Man City,
2.GERMAN:Bayern...
Wadau wa kispoti mnaokumbuka hili sakata mnasemaje?
Etoile walimtoa kwa mkopo Okwi kwenda Villa
Azam walimtoa kwa mkopo Ngassa kwenda Simba
Simba wakamsainisha mkataba akiwa kwa mkopo, Yanga...
FIFA Club World Cup: Raja Casablanca 3:1 (0:0) Atletico Mineiro - Report - FIFA.com
Gang Chomba vipi za masiku?toa 7bu inakuwaje Gaucho kashindwa kuokoa jahazi la wabrazil(ATLETICO MINEIRO) jana...
Mwenyekiti wa kamati ya usajili ya Simba Sc ya Dar es salaam,Zacharia Hans Poppe amesema kwamba watani wao wa jadi,Yanga Sc wameingia mkenge kumsajili Emmanuel Okwi na labda watamtumia kwenye...
Mi nashangaa watanzania hasa wapenda soka la bongo (simba na yanga) hatujui siasa la soka letu, suala la okwi limeisha iwe simba wameingia chaka au yanga, ni kwamba, Yanga hapa wamekosea ila...
Klabu ya Yanga SC imefanikiwa kukamilisha usajili wa mshambuliaji wa kimataifa kutoka nchini Uganda Emmanuel Arnold Okwi ambaye alikua akiichezea klabu ya SC Villa ya Uganda.
Yanga SC...
Wanachama na wapenzi wa Simba SC wamekuwa kama watoto wadogo wa kuahidiwa mambo makubwa na mwenyekiti wao Aden Rage, Mbunge Tabora Mjini - CCM. Hali hii imesababisha ugumu hata wa kumng'oa...
Habari zilizoingia hivi punde yule mchezaji wa yanga alietokea simba
ama tunisia kama mashabiki wa simba waaminivyo ametua uwanja wa ndege wa julius nyerere
kwa ajili ya mpambano wa jumapili...
Kocha wa Tottenham Andre Villas Boas (AVB) amepigwa panga kufuatia matokeo mabaya na mwenendo usioridhisha wa Tottenham. Kipigo cha bao 5-0 nyumbani ni kibaya zaidi katika kipindi cha miaka 16...
...baada ya timu ya Arsenal kupigwa goli 6 na timu ya Man City, Na mnamo mwaka jana timu hiyo ilipigwa goli 8 na timu ya Manchester United, hatimaye record hiyo imepelekea timu hiyo kupewa jina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.