Kuelekea mpambano wa kesho wadau mnalitazamaje hili pambano hasa ukizingatia usajili,maandalizi na ubora wa vikosi vyote viwili. kwa kuupima uzito wa mchezo wenyewe unaona matokeo yatasimamaje...
Leo kamati ya TFF ya haki za wachezaji zimemuhidhinisha kiungo mwenye kasi Mrisho Ngassa kuichezea Yanga ktk msimu ujao.Pia imempa adhabu Mrisho Ngassa wa kulipa pesa ambazo inasadikiwa...
Having twice emerged first runner up to both Simba and Yanga in the past two seasons, Azam have nowhere to run but going for the league title this season. The only way up is the title, nothing...
wakuu nashawishika kuamini kwamba mchango wa mchezaji mmoja mmoja katika timu wakati mwingine huwa ni mkubwa sana hasa ukichukulia wakati mwingine timu inapokuwa haipati matokeo ya kuridhisha...
Robbie Savage alikua mmoja kati ya wachezaji manunda, korofi na watata sana uwanjani, dressing room na hata nje ya uwanja. Kwa wanaomkumbuka enzi zake akiwa na Blackburn Rovers na Birmingham...
Nyeti za kikao kilichoitishwa na Naibu waziri wa habari vijana utamaduni na michezo Amos Makalla kujadili mkataba wa Azam Media kuonesha mechi za ligi kuu ambao umegomewa na Yanga
tumefanikiwa...
Katika hali inayoonyesha prof arsene wenger amedhamilia kuondoa ukame wa vikombe pale emirate inasemekana yupo kwenye hatua za mwisho za kumsainisha kiungo wa the bavarians luis gustavo kwa...
hii nimeikuta katika mjadala mkali unaondelea kwenye pegi ya ligi kuu tanzania kuhusu azam media, kamati ya ligi na yanga
Nanukuu'' hongera shafii dauda keep it up bro usitumike kama kina bin...
Yanga inaitilia ngumu Kwa Chelsea ya Bongo (AZAM) Kuonyesha mechi zake na kupelekea kuwekwa kitimoto na waziri mwenye dhamana ya michezo
wadadisi wanahitaji kuone japo Jengo la kurushia...
WEDNESDAY, AUGUST 14, 2013
The Tanzania Breweries Marketing Director, Kushilla Thomas hands over a jersey signed by all FC Barcelona first team players to President Jakaya Kikwete at the State...
Ndugu wana JF. Nyerere alikuwa ndiyo mwana michezo halisi ukinganisha na viongozi wetu wa leo. Wakati wa Nyerere:
1. Alijenga viwanja vya michezo yote kila mkoa.
2. Michezo ilikuwa ni somo shule...
Kiukweli mpira wetu Tanzania sijui kama utaweza kuendelea miaka ya hivi karibuni labda kwa kizazi kijacho, Sijui kwanini timu kongwe kama simba kupeleka mkataba wa Ngasa polisi mambo ya michezo...
Baada ya viongozi wa RT kutangulia Moscow wiki jana hatimaye wanariadha wawili wameondoka leo kwa kutumia shirika la ndege ya Uturuki (Turkish Airlines) kwenda Moscow Urusi. Wanariadha hao...
Kama ilivyotarajiwa bondia Francis Cheka "SMG" jana alishinda pambano lake kwa ushindi wa points za kubebwa dhidi ya bondia Nguli na Mjeda wa Malawi aitwaye Chimwemwe. Hii inamuweka kwenye nafasi...
Dar es Salaam. Simba SC are in trouble once again after handing in incomplete Mrisho Ngassas registration documents, it has been revealed.
A credible source within the Tanzania Football...
Habari jamani samahani lakini kwa kuingilia mambo ya watu sababu Mimi si mshabiki wa Arsenal ila Huyu dogo kila akifunga Goli lazima utasikia balaa limetokea alifunga siku Osama alipo uwawa, then...
Tanzania inawakilishwa na wanariadha wawili ambao ni Msenduki Mohammed na Faustine Mussa. Wote watashikriki kwenye mbio za Marathon. Kenya inawakilishwa na jumla ya wanaridha 49 na Uganda...
Wanajamvi wote nianze kwa kuwatakia afya njema.
Wachezaji hawa walikuwa gunzo sana na huenda ndio waliokupelekea ushabikie timu unayoishabikia hadi leo,japo wengine huuenda wametangulia mbele ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.