More than thirteen years have passed since the last time a Tanzanian referee officiated an AFCON tournament match. The legengadary Omar Abdikadir officiated in the 1998 AFCON edition in Burkina...
jaman wanajangwani mwezi wa nane ndo huu sasa kama kunamtu anayefahamu kuhusu uwanja wetu wa kisasa ulipo fikia atuelezee jaman nawasilisha kwenu wana jf
Mchezaji wa zamani wa Yanga na timu ya Taifa Baraka Kitenge ambaye pia ni baba wa mtangazaji wa IPP media Maulidi Baraka Kitenge amefariki dunia leo mchana akiwa na umri wa miaka 74!
Naendelea...
20 AUGUST 2013
SIMBA Sports Club's prolific defender Shomari Kapombe has been registered by a French fourth division side AS Cannes.
Simba chairman Ismail Aden Rage was quoted as saying Kapombe is...
Wale waandishi wajinga wajinga na makada wa CCM mliokuwa mnapotosha ooh Ngasa haja saini Simba wala mkataba wake TFF hawautambui haya sasa angalia kwenye mkataba wa Ngasa hapo pembeni utaona mhuri...
Wakati nchi za ulimwengu zikiwakilishwa na wanariadha wake mahiri katika mashindano ya dunia ya riadha mjini Moscow Urusi, Tanzania imeweka rekodi ya aina yake kwa viongozi wa Chama Cha Riadha...
Jumapili ilikua ni closing ceremony ya mashindano makubwa sana ya riadha kule moscow kuna mambo kadhaa yalinoshangaza labda niyaweke ktk point form ndio tuyajadili
1. mashindano yale yalipewa...
Habarini wanajamvi
Nilichekaje juzi kati mwenzenu nilifurahije nikawa hoi
kwa kicheko na tabasamu languvu pale nilipoona
Arsenal ikiwa hoi bila kuambulia kitu ilichapwa kwa
mara ya kwanza kwenye...
Licha ya Yanga kuitandika Azam FC bao 1-0 katika ngao ya jamii, Azam FC kwa sababu wanazozijua wao wenyewe wameandaa msimamo wa Ligi Kuu ambao kama ligi itaishia hapo, moja kwa moja unaishusha...
Mechi hiyo ya Ngao ya Jamii (Community Shield) kuashiria ufunguzi wa msimu mpya wa 2013/2014 iliyochezwa jana (Agosti 17 mwaka huu) Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam imeingiza sh. 208,107,000.(HM)...
ndugu zangu ninakijana wangu anapenda mpira wa miguu sana anamiaka 15 kwa sasa.Nataka nimpeleke shule yeyote ya mpira akasome huko,hvyo kwa yeyote mwenye kujua shule nzuri iwe marekani na popote...
Hem kisikieni hiki ki Arsene Wenge kinavoteketeza Arsenal yetu na kututia pressure kila mwaka sisi ma die harders
on why money hasn't been spent…
I can return your question. Could we have...
Ndugu zangu wanajamvi,naomba nijitokeze kwenu kwa kuwaombeni tuungane kwa pamoja kupinga michezo kuhusishwa na mambo ya kisiasa.
Kwanza kabisa naomba niweke wazi mimi ni shabaki mkubwa wa simba...
Iko hatua ya Robo Fainali, ambayo huchezwa katika mfumo wa makundi.
Orlando Pirates inaongoza kundi A ikiwa na pointi 7 baada ya michezo mitatu kuchezwa. AC Leopards ya Congo na Al-Ahly...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.