Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
Ni leo jioni jijini Kampala,kuungana na timu j,2 Dar!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ni Mbunge na waziri wa uchukuzi Dr. H. Mwakyembe leo ametoa zawadikatka mashindano Kata ya Ipinda Kyela kwa timu zilizofuzu mashino hayo. Mshindi wa tatu kajinyakulia tsh.200,000, mshindi wa pili...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
eti bale ana thamani zaid ya neymar
0 Reactions
1 Replies
811 Views
Mrisho Ngassa akiwa katika nyumba yake ya Mwanza Nyumba nyingine ya Ngasa Mwanza Moja ya gari za kutembelea za Ngassa ikiwa katika nyumba ya Dar es Salaam, Yombo. Nyumba ya...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Ni sawa na ule usemi wa nabii akubaliki kwao.Kipa wa zamani wa Simba na timu ya taifa Juma K. Juma amepata timu nchini Congo. Ni FC lupopo ya congo. Mkataba wake unaonyesha atapewa $30,000...
3 Reactions
24 Replies
6K Views
Game: FC Bayern 2 - 1 Manchester city negredo, muller (p), and mandzukic Stadium: allienza arena third place AC Milan kaifunga Sao Paolo 1 - 0
0 Reactions
120 Replies
5K Views
Yanga gave out their reasons for rejecting the memorandum of understanding signed between the Tanzania Premier League committee, the clubs’ representative, and Azam Media Limited. They cited...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
3rd place FT Ac milan 1-0 Sao paulo fc Next final man city vs bayen munich
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kiungo mtoro wa timu ya taifa na Simba Mwinyi Kazimoto amefuzi majaribio katika klabu moja ya daraja la pili jijini Doha nchini Qatar,na tayari ameshafanyiwa vipimo tangu jana na leo Simba...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
makamu mwenyekiti wa azam fc ni mjumbe wa kamati ya ligi..TPL..na pia ni mmoja wa wakurugenzi wa kampuni ya azam media group washindi wa tenda ya kuonesha mpira..ligi kuu tanzania bara.. je...
3 Reactions
44 Replies
7K Views
Taifa Stars – tatizo ni Kim Poulsen? Taifa Stars imetolewa na tayari wadau wanatoa sababu mbalimbali hasa ikizingatiwa katika siku za karibuni ilionekana kufanya vema kwenye mechi za kujipima...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
nilishawai kutupa uzi kama huu hapa jamvini na bado narudia tena.... uzuri wa soka statistics ndio zinaeongea!!! tuliwatoa uganda kwenye similar competition tukaenda chan kwa 2 - 0 aggregate na...
1 Reactions
3 Replies
879 Views
Kwa wenyeji wa Arusha,nataka kujua kama kuna football academics za watoto under 14yrs.Mwanangu anapenda mpira na pia ana umbo zuri(umbo la kimagharibi)la mpira sasa nimeamua kumelekezea kwenye...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Na Mphamvu Harakati si jambo geni miongoni mwa waTanzania. Yapo makundi ambayo yamejipambanua kama makundi ya wanaharakati. Wapo wanaharakati wa mambo ya siasa, haki za binadamu, mazingira na...
0 Reactions
2 Replies
862 Views
While Tanzania was comprehensively thrashed by Uganda and Kenya had to endure an embarrassing exit in the hands of Burundi, Rwanda battled it with Ethiopia before narrowly losing on penalties...
0 Reactions
1 Replies
648 Views
Ukipita mitaa ya jiji la Dar miezi hii utakutana na watu wengi wakiwa busy,wengine kwenye foleni ndani ya magari yao na daladala na wengine kwa miguu huku nyuso zao zikiwa na bashasha. Ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu, Napendekeza tubadilishe mfumo unaotumiwa na Kocha wa Taifa Stars kupata wachezaji wa timu yetu ya taifa ya mpira wa miguu. Mfumo ninaopendekeza ni huu Kila mkoa upewe jukumu la kutoa...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Nini kifanyike kuhusu soka la mpira wa miguu la Tanzania kwani twaendelea kudidimia, toa maoni yako kifasaha, kisomi na kiutashi ili tuweze kufikisha kwa wausika wachukue hatua, sisi wadau hakika...
0 Reactions
0 Replies
704 Views
Who has pictures of stadiums? www.stadiumzone.weebly.com has a picture of Tanzania's national stadium, but who has other pictures? I also love Old Trafford, the home of Man United.
0 Reactions
3 Replies
855 Views
Back
Top Bottom