Kumbe sio wachezaji wa kiafrika tu hasa wa West Africa wanaodanganya umri, kina Okocha, Essien, Taribo West, Martins et al.
Moja kati ya washambuliaji wakali zaidi katika ulimwengu wa soccer...
Kutokana na kufanya vibaya kwa timu ya Taifa wakati fulani Rais Msataafu Alhaj Ally Hassan Mwinyi aliwahi kuipa jina '' KICHWA CHA MWENDAWAZIMU''
Sasa mimi kutokana na kuiona mara ifanye vizuri...
Klabu za Juventus na Ac Milan za Italia zimeshika nafasi ya kwanza na ya nne miongoni mwa klabu zilizoneemeka na mapato makubwa kutokana na ushiriki wao wa UEFA champions league,imesema taarifa ya...
Swali ni fupi tu, ninaomba mtoe maoni yenu kuhusu mchezaji wa Nigeria, Odemwingi. Je, mnazungumziaje uwezo wa mchezaji huyu?
Anasifa za kuitwa fundi?
"Mimi binafsi" ninamuona wa kawaida. Karibuni.
CHRISTIAN RONALDO KWENYE HEADLINE TENA,APIGA SHUTI KALI NA KUVUNJA MKONO WA HUYU MTOTO ALIKUWA NJE YA UWANJA
Mtoto mwenye umri wa miaka 11 shabiki wa mchezo wa soka nchini Uingereza amevunjika...
Liverpool owner John W Henry has mocked Arsenal's bid for Luis Suarez with a cheeky tweet. The Anfield club rejected the Gunners bid of £40 million plus £1 for the wantaway striker and the...
Akiwa ktk mkutano wa simba sport clubs..........rage aliamuru mwanachama mmoja ambae ni mwanamama na maarufu hapa nchini ktk tasnia ya uigizaji,atolewe nje kwa madai kuwa ni hasimu wake na hataki...
kama wewe ni mpenzi wa CHELSEA,MAN UTD AU ARSENAL nina DVD za SEASON REVIEW 2012/2013
DVD HIZI ZIMESHEHENI MAMBO YAFUATAYO
1. HIGHLIGHTS ZA GAME ZOTE ZA TEAM HUSIKA MSIMU MZIMA 2012/2013
2...
Pamoja na watanzania walio wengi kuwa katika kuiombea dua Taifa Stars kocha mkuu wa timu hiyo Poulsein ameshaanza kuleta visingizio kabla hata ya mechi kuchezwa... kikubwa anasingizia wachezaji...
23 July 2013 | Fred Maingi
Tanzania Taifa Stars jets out for Uganda without two of their key players ahead of their return leg of the Africa Nations Championship (CHAN).
The duo includes...
mimi ni mpenzi mzuri wa kucheki soka la ligi mbalimbali duniani,katika mtiririko wa matukio,nimeshuhudia wacheza rafu wengi ambao hata wachezaji pinzani pengine walikuwa hawapendi au hata sasa...
Sasa imethibitishwa rasmi kuwa kocha wa barcelona amejiuzulu ili akabiliane na tatizo la kansa kwa kuendelea na matibabu.
The barcelona coach Tito has resigned to fight for cancer treatment.kila...
Kwa nini kila ukimsajiri nahodha wa Arsenal lazma mwaka 1 baadae kocha uachie ngazi?
Kaanza VIEIRA kwenda juventus CAPELLO OUT kafuata
HENRY kwenda barcelona RIJKAARD OUT
akaja GALAS kwenda...
mwenyekiti wa simba mh. Mbunge Aden Rage alisema hayo jana katika mkutano mkuu wa simba uliodumu kwa saa moja
Rage'' serikali yangu ya chama cha mapinduzi imewachukua miaka 50 kujenga uwanja wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.