Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
Mbona haeleweki huyu Babu? Ina maana makosa aliyo yafanya msimu uliopita hayajamfundisha tu? Sasa anatapa tapa kwenye usajili. Mara anasema anamtaka JOVETIC mara HIGUAN mara...
0 Reactions
1 Replies
816 Views
Naona inakuwa mazowea kwa mechi za mashindano za kimataifa zinazoihusu timu yetu ya taifa kupangwa kuchezwa hapa saa tisa alasiri, najiuliza ni kigezo gani wanakitumia hawa TFF kwani kama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Niulize tu hiki cha kurusha mechi live haioneshi muda,hamna magoli wala majina ya timu hamnna mnautangazia umma hii nchi haina wataalamu wa IT,hamna hela za kuajiri wasomi wenye ujuzi wakasaidia...
0 Reactions
1 Replies
952 Views
Baada ya dk 45 za kwanza; kufungwa 3-2 ni kawaida kwenye mchezo, lakini hoja ni kwamba kwa nini wachezaji wa Stars hufunga mabao mazuri sana lakini wanafungwa mabao ya kizembe sana pia? Tujadili.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanajamvi naombeni mnijuze ni ipi chaneli hapa bongo itaonesha mechi zote za kombe la mabara! NAWASILISHA
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Huyu mama haijafahamika anapata wapi nguvu ya pesa kwani kuna kipindi kampuni yake ilipata tenda ya serikali kujenga Refinary ya kusafisha mafuta na kusafirisha mikoani lakini ikafeli Leo hapa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ni kama aina fulani ya Kigeugeu. Lakini ndio hali halisi. Yanga na Simba sasa ruksa kushiriki kagame cup Darfur!!
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nilikuwa nikimuheshimu sana bwana EDO KUMWEMBE ambaye ni mchambuzi wa soka lakini siku za karibuni ameanza kutoa uchambuzi wake wa kinafiki, especialy pale anaipoichambua Arsenal. Hakuna siku...
0 Reactions
42 Replies
25K Views
Kwa wale ambao wanaopenda kuangalia mashindano haya, ukiachilia mbali Supersport kwa hizi channel za FTA TVM ya Msumbiji inaonesha. Naomba kuwasilisha.
0 Reactions
0 Replies
722 Views
BSPORTS POWER FOOTBALL RANKINGS (Top 30): 1 Lionel Messi, 2 Cristiano Ronaldo, 3 Franck Ribery, 4 Marco Reus, 5 Andrea Pirlo, 6 Robin van Persie (Man Utd), 7 Giorgio Chiellini, 8 Marek Hamsik, 9...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Nimemsikia Watangazaji wa Clouds PJ na Laexander na Babra povu linawatoka wanahamasisha Watanzania kuwafanyia umafia wageni wa Ivory Coast ambao watapambana na Timu yetu ya Taifa Jumapili wakisema...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
"Mabingwa watetezi wa Kombe la Kagame" "Ni kwa kuwa hali ya Darfur siyo nzuri kiusalama." Yanga yavuliwa ubingwa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo imesema kuwa haiwezi...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
June 13, 2013 Two players have been expelled from the Ivory Coast squad ahead of their encounter against Tanzania scheduled for Sunday after they were found guilty of fighting during a training...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
SERIKALI imeziruhusu klabu za Simba SC, Yanga SC za Dar es Salaam na Super Falcons ya Zanzibar kwenda Sudan kushiriki michuano ya Klabu Buingwa Afrika Mashariki na Kati, Kombe la Kagame. Naibu...
0 Reactions
1 Replies
862 Views
KIKOSI cha wachezaji 27 wa timu ya soka ya taifa ya Ivory Coast, Tembo kimewasili usikuhuu Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, Dar es Salaam kikitokea Abidjan na kupitia Kongo Brazaville, tayari...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Abdallah Msimba katika enzi ya uhai wake akiichezea timu ya Sigara source: BIN ZUBEIRY: MSIBA; ABDALLAH MSAMBA ALIYENG'ARA SIMBA SC, PAN NA SIGARA AFARIKI DUNIA USIKU WA KUAMKIA LEO MBEZI
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Justin Gatlin upsets Usain Bolt in 100 meters8 hours ago Email Share590 The stunning image is now bouncing around the world: Usain Bolt, fastest man in human history, watching an...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Chelsea has finally agree a deal for german international andre schurle from bayer 04 leverkrusen!this we'll be mourinho first signing.source bbc sport, more to follow;
0 Reactions
2 Replies
1K Views
The Council for East and Central African Football Associations (Cecafa) has replaced the three teams that pulled out of the forthcoming Cecafa Kagame Club Championship in Sudan. Kenyan ch...
0 Reactions
0 Replies
835 Views
Muandaaji (Producer) wa kipindi cha CNN World Sport bwana Harry Reekie, anaandaa documentary kuhusiana na ubaguzi wa rangi kwenye soccer na hapa kuna makala yake kuhusiana na tatizo hilo. Pitia...
0 Reactions
0 Replies
691 Views
Back
Top Bottom