Katika kile ambacho tunakiona ni mafanikio makubwa kwa barcelona msimu ujao na ni moja ya mikakati ya kuchukua vikombe vyote tena msimu ujao kijana Neymar da Silva Santos Júnior tayari atatua...
Mambo vipi wana michezo wenzangu, mwenzenu kuna kitu sielewi ktk tim yetu ya Taifa. Kama tunavyojua hivi sasa tuna kabiliwa na michuano ya kutafuta kufuzu kwenye michuano ya kombe la Dunia hatua...
Francis Kahata of Harambee Stars vies for the ball against Efe Ambrose of Nigeria during their 2014 World Cup qualifier at Moi International Sports Centre, Nairobi June 5, 2013. MOHAMMED AMIN...
tunajipamba tunaweza kuzifunga morocco , ivory coast ili tushiriki kombe la dunia nchini brazil 2014,ndio tunaweza kufanya ivo lkn nadhan hatupaswi kushirik tunapaswa kushindana na il tuweze...
Taarifa zilipatikana kutoka Clouds FM katika mazungumzo kati ya Maestro na Loveness ni kuwa Mchezaji wa timu ya Vijana ya Chelsea "the Blues" Adam Nditi amekubali kuchezea timu ya Taifa ya...
Baada ya ushindi wake wa jana dhidi ya Malaga wa4-1,Barcelona imeweka rekodi mpya La Liga kwa kujikusanyia alama 100 na na mabao 115 ya kufunga na hatimaye kutwaa ubingwa. Mabao ya David...
Kufuatia hali ya sintofahamu kuhusu ushiriki wa vilabu vya Tanzania katika kombe la kagame Darfur,imethibitika kwamba timu za 'El Merrekh na Al Hilal'zimejitoa kwenye michuano hiyo muda murefu kwa...
Nimekuwa nafatilia x nyingi mpira wa kibongo kwa umri wangu nashindwa kung'amua jambo1 hivi mpira wetu unapanda umeshawahi kupanda au tuko kwenye line ipi tusaidiane ktk hili wadau wa kandanda...
Nadhani haya ni yale matokeo ya mwanzo
February 27, 2013 NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA Page : 581
QT 2012 RESULTS FOR : M1503 - ZUHRA ISLAMIC SEM...
WanaJF naomba msinishangae kuuliza swali hili kwani nimejifikiria mno na kutopata jibu. Huyu kaajiriwa na TFF kama afisa habari wake sasa kuongozana na timu ya taifa ambayo tena inaweka kambi...
- Edinson Cavani (26) anakamilisha mipango ya kutua ManCity. Chelsea na Real Madrid nao wamo kwenye mawindo. Lakini klabu imempa ofa nono ya mkataba wa £6m kwa msimu ili abaki.
- Kiungo...
Jose Mourinho aka the Special One amesema hatakuwa tena kocha wa Real Madrid msimu ujao na kwamba ana mpango wa kwenda anapopendwa. Alipoulizwa ni wapi huko, Mourinho alisema kuwa anajua anapendwa...
Nipo hapa nawaangalia Juma Pondamali na Peter Manyika kwenye kipindi cha michezo cha EATV, kila mmoja anajisifu na kumkandia mwenzake, lakini cha ajabu si katika fani zao zile za zamani bali ni...
Chelsea have reappointed J. Mourinho as their new manager. Welcome back to EPL at least for the next three season. By 2016 Chelsea will have another manager, Mourinho's wandering history doesn't lie.
Kama kuna mchezaji wa afrika mwenye sifa za kucheza na mpira apendavyo basi Mimi ningempa Austin jay jay okocha ni mchezaji wa kiungo pekee ktk bara letu la Africa aliyekuwa na uwezo pekee wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.