Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
kama wanatuaibisha mikoani je nje ya nchi wataweza kupambana?
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Mpira muda wowote unaanza uwanja wa Taifa tutakuwa bega kwa bega na wadau. Here's Young Africans line-up to face African Lyon today: 1.Ally Mustafa 2.Juma Abdul 3.David Luhende 4.Nadir Haroub...
1 Reactions
115 Replies
7K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI YAH: KUENGULIWA KWANGU KUGOMBEA URAIS WA TFF 2013 Ndugu zangu,kupitia vyombo vyenu vya habari ninaomba niueleze umma wa watanzania,hususani wadau wa mpira wa...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
.... Zengwe na wingu jeusi limetanda katika anga la soka katika Tanzania..... hii ni baada ya kamati ya TFF kuwaengua baadhi ya wagombea kwamba hawana sifa.. mfano Jamal Malinzi alikuwa katibu...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Heshima Kwenu Wadau.. Nina imani Wengi tumeona Beki wa Nigeria Ambrose alivyokimbiza kwenye AFCON.. Na kuonesha yupo serious na Soka Alisafiri jumatatu Straight From South Africa to Glasgow...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Sherehe za kufunga AFCON 2013 ndo zinaendelea.... Performance ni nzuri sana.... Match imekwisha na Nigeria ndiyo mabingwa wapya wa Afrika kwa 2013... Final score: NGA 1 - BFA 0 Mod naomba...
0 Reactions
171 Replies
10K Views
Tangu enzi za akina Emanuel Mbele ‘Dubu’, lakini ni wachache waliong’ara kote kote. Athumani Mambosasa (sasa marehemu), Zamoyoni Mogella, Method Mogella (sasa marehemu), Hamisi Gaga (sasa...
0 Reactions
12 Replies
7K Views
Samuel Eto'o Alleges Cameroon Football Association Wants Him Killed By Adrian Agius...
0 Reactions
0 Replies
795 Views
Nimeangalia mechi ya fainali ya kombe la Africa 2013 huko South Africa ni katika tathmin yangu kama Bukina Faso wangeandaliwa kisaikolojia kushinda mechi hiyo sasa hivi wangekuwa mabingwa wetu...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Hivi huyu jamaa ameshatabiri nini kitatokea fainali ya leo nigeria vs bukinabe???maana huwa tabiri zake nazisikia kuwa alishatabiri baada ya tukio kuwa lishatokea!this time nataka nijue nifuatilie...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Hello Player, I am Agent BISHOP Joh(c/o Scottish Football Association ), A soccer scout based in England. I am presently recruiting players for clubs in the England,Scotland soccer team, clubs and...
0 Reactions
0 Replies
647 Views
Hello Player, I am Agent BISHOP Joh(c/o Scottish Football Association ), A soccer scout based in England. I am presently recruiting players for clubs in the England,Scotland soccer team, clubs and...
0 Reactions
0 Replies
909 Views
Mpaka sasa ni dakika ya 87 JKT OLJORO 1 SIMBA 1. Samahani nimechelewa kuleta mtanange huu kutokana na kuchelewa kwenye mihangaiko yangu.
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Ndg wapenzi wa michezo na hasa soka pia wasomaji wa gazeti la mwanaspoti, kuna huyu jamaa samson mfalila uwa anatabiri mechi za ligi kuu ya uingereza nahisi kama angekuwa anacheza kamari sasa hivi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Fixtures & Results: Saturday 19 January 2013 1 South Africa v Cape Verde Islands National Stadium 18:00 2 Angola v Morocco National Stadium 21:00 Results: 0-0 for both matches...
15 Reactions
618 Replies
36K Views
Kwa Gemu ya leo, super eagles walistahili kushina na sio bukinabe.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wadau wa JF Sports natumai mu wazima wa afya.. leo baada ya kuingia kwenye email yangu leo na kukuta manchester city wameni wish happy birthday ndio nikakumbuka kuwa leo ni siku yangu ya...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Wakuu, Kwanza natanguliza pongezi kwenu kutokana na ushindi wa Taifa Stars dhidi ya Cameroon lakini,safari bado ni ndefu kwani wenzetu Burkina Faso ndo wanacheza fainali AFCON...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
wadau naombeni mnipe muda wa iyo fainal ni saa ngapi iyo kitu itapigwaa
0 Reactions
3 Replies
976 Views
Naomba wale wanaofuatilia kwa makini uchaguzi wa tff watupe updates za nani amejipanga viti kumrithi tenga.ikiwezekana aanzishe mtu thread ya kura ya maoni humu jf kati ya wagombea wenye mvuto zaidi.
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Back
Top Bottom