Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
HAAAHAAA NAJUA MNAMLALAMIKIA MTU ANAITWA MTIGANJOLA KKWA KUMWONDOA MALINZI LAKINI NAPENDA NIWAAMBIE NDUGU ZANGU WATANZANIA WENYE KULETA AMANI KWENYE MICHEZO CHANZO KIKUBWA CHA FUJO HIZI NI...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
arsenal o - 4 bayern munich
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Wadau wa michezo, Nimejaribu kufuatilia kidogo harakati za huyu bwana katika medani za soka la bongo, na napenda kutoa pongezi kwake kwa moyo mkubwa alionao katika kutaka kuongoza soka la bongo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wadau habari zenu bana.... Naomba msaada,juzi nimejaribu kuzunguka mjini lakini nikashindwa kupata jezi original ya Arsenal.Naomba mnijuze duka linalouza hizi jezi za kiwango... Natangiliza shukran
0 Reactions
0 Replies
2K Views
From bread line to Lakers owner, Jerry Buss left a lasting impact on the NBA Jerry Buss purchased the Lakers for $16 million in 1979. (AP) Buss' savvy real-estate investments helped make him...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sasa hawa wanajadili? Wanabishana? Au wanasutana????
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wawakilishi wa Tanzania Bara katika Michuano ya Klabu Bingwa Barani Afrika,Simba wamelazwa bao moja kwa sifuri Uwanja wa Taifa. Matokeo hayo yanaiweka Simba katika nafasi finyu ya kufuzu kwa hatua...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Game itapigwa Houston,TX Feb 15 mpaka 17 West wataongozwa na Chris paul kama Captain wa LA Clippers uku East wataongozwa na Dwayane Wade kama Captain-Miami Heat Western Conference All Stars...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
"He says that he doesn't want to fight in the United States because of the high taxes which I can hardly blame him,” promoter Bob Arum told ESPN recently. “You know, there’s a limit to what these...
0 Reactions
1 Replies
918 Views
Habari wadau wa soka,naomba mnijuze kama kichwa cha habari kinavyojieleza
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna mjadara mkali TBC, Maiko Wambura anamchachafya Angetire Oseah-katibu TFF hadi namfananisha na mh. Ndugai alipokumbana na Lissu kwenye kipimajoto akabaki kutoa povu. Uchaguzi TFF umesitishwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
TFF wameombwa kuwasilisha vielelezo kwa Waziri kama mkutano mkuu ulifanyika wapi na siku gani.... Mdau anasema TFF wamefoji wanastahili kwenda jela Wambura kachachamaa sana Haki lazima itendeke
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimepata habari saa hizi kuwa kuna mchezaji wa zamani wa Simba Sports Club enzi ikijulikana kama Sunderland Sports Club, Asmata, amefariki leo hii na kuzikwa leo hii makaburi ya Kisutu aka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mdahalo wa Uchaguzi wa TFF unaendelea TBC sasa hivi! wambura anatililika na yuko focused wachangiaji wako focused tooo lakini nina wasiwasi na katibu mkuu wa TFF Angetile Osiah karibuni
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Je, ni ya: 1. Ronaldinho dhidi ya Uingereza 2. Stoichkov dhidi ya Ujerumani 3. Juninho... 4. Kalusha... 5. Okocha... 6. Bergkamp 7. Hooidjonk... 8. Pirlo 9. Companero... 10. De Piero... ?
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari wana JF,mimi ni Shodan wa Shotokan Karate-Do,natafuta dojo ya Tae kwo ndo hapa mwanza nahitaj kujiunga.Nawasilish
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kutoka katika Facebook ya Shafih Dauda ni kuwa uchaguzi wa TFF na ule wa kamati ya ligi umeahirishwa mpaka itakapotangazwa vinginevyo. Taarifa zaidi zitawajia mara zitakapopatikana...
0 Reactions
0 Replies
935 Views
Kumbe ukiisha kisoka kudesa na kutapeli uwanjani ndio dili! http://uk.eurosport.yahoo.com/video/ronaldinhos-cheeky-assist-212019514.html Watch the video - Sports UK
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Messi alitongoza demu akaingia naye ghetto kwake.Yule demu akaingia bafuni kuoga. Aliporudi toka bafuni akapigwa na butwaa kumuona messi akiwa na washikaji wengine wawili kitandani. Yule demu...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa muda sasa nimekuwa nikisumbuliwa na hii sheria au kanuni ya TFF na FIFA ya kwamba maamuzi yao yote hata kama yataonekana kupindisha haki za mtu,mtu huyo hatakiwi kwenda kwenye chombo chochote...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom