Msigwa alieleza huu ni utekelezaji wa ahadi zake alizo toa katika sekta ya michezo, wana michezo wa iringa mjini wakiri wazi kuwa haijawahi kutokea mashindano makubwa ya namna hii.
zaidi...
Penati mbili zilizopigwa na Mikel Arteta zilitosha kuipa Arsenal ushindi dhidi ya West Brom.Sasa Arsenal imepanda hadi nafasi ya sita. Matokeo mengine ya leo ni haya:
Aston Villa
0 - 0...
napata mashaka sana ninapoona timu yetu ya taifa starz inafanya vibaya katika kila mashindano inayoshiriki,tatizo haswa ni nini na je TFF ina nafas gan kwa timu hii na soka la bongo kwa ujumla?
OKWI AJITIA KINANZI HADI 2014 SIMBA SC, RAGE NA HANS POPPE WAMALIZA KAZI KAMPALA USIKU WA JANA
Mwenyekiti wa Simba, Alhaj Ismail Aden Rage (kushoto) baada ya kutilia saini mkataba na Okwi...
Kocha wa timu ya taifa ya soka ya Malawi (The Flames), Kinnah Phiri, amesema kwamba tayari ameshakubaliana na uongozi wa klabu ya Simba ili ajiunge na mabingwa hao watetezi wa Ligi Kuu ya...
Mrisho Ngassa amejiunga El Marreikh kwa dola 70,000 kutoka Azam......mshahara atajijua mwenyewe!!....ikumbukwe kuwa Ngassa ni mali ya Azam sio Simba...
Wachezaji wa Bara wakijadiliana baada ya kufungwa na Uganda katika mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Tusker Challenge usiku wa leo kwenye Uwanja wa...
FIFA imewabakisha manguli watatu wa La Liga kugombea uchezaji bora wa dunia. Ni Lionel Messi aka Andunje,Andres Iniesta na Christiano Ronaldo. Wewe ungekuwa kocha,nahodha wa timu ya Taifa au...
Beki wa Zanzibar, Aggrey Morris akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la pili kwa penalti, Uwanja wa Mandela, Namboole katika Nusu Fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati...
Nimemsikia rais wa TFF akifafanua uamuzi wa kupeleka waraka kwa wajumbe kukubali au kukataa kufanya mabadiriko katika katiba yake eti ni ukosefu wa pesa. Ninasangaa kwa hilo kwani CECAFA huleta...
Arsenal the Gunners kupitia kwa msemaji meneja wao Arsene Wenger imethibitisha kuwa ipo katika mazungumzo na mshambuliaji kinda wilfred zaha wa klabu ya crystal palace yenye makazi yake huko...
nyie DTV, achen kuhongopea watazamaji, mnasema mechi itaonyeshwa 'live' huku mkijua c kweli. Mnafanya promo wiki nzima kuwa itaonyeshwa live, kumbe live yenu ni baada ya mechi kuwa mapumziko, alaf...
TUESDAY, DECEMBER 04, 2012
KALENDA YA YANGA YAZINDULIWA
KLABU ya Yanga imeingia mkataba na kampuni ya Pecha Media Health Promotion kwa ajili ya kutengeneza kalenda za klabu hiyo za mwaka...
Mshambuliaji lulu wa klabu ya Simba ya jijini Dar, Emanuel Okwi amejiunga na Klabu ya Azam
Taarifa za kuaminika toka ndani ya Simba na Azama zitabainisha hivyo!
Wachezaji wa Bara wakimpongeza Bocco baada ya kufunga bao la pili katika Robo Fainali ya kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Tusker Challenge dhidi ya Rwanda. Bocco alishangilia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.