.... wanatangaza live kutoka Uganda ... lakini mtangazaji na mchambuzi wanaongea tu hadithi na wala hawaelezi mchezaji gani ana mpira.... hasa ukizingatia jezi za wachezaji hazina majina...
Wakuu, inawezekana hapa ikawa si jukwaa sahihi sana kwa hii post.
Lakini nimeiweka kwa kuwa naamini michezo ni siasa, na pengine wazo hili linaweza kuchukuliwa na kupelekwa sehemu sahihi: Timu...
Ni wazo zuri kubadili upepo wakati huu wa maandalizi ya nusu ijayo ya msimu wa ligi.
Lakini nina tatizo kidogo na safari hii... Na kudeclare interest, niko in favor of Simba kwenye derby ya...
Mfungaji wa penalti ya mwisho na ya ushindi ya Zanzibar, Abdallah Othman akikimbia kushangiloia baada ya kumaliza mechi ya Robo Fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA...
Nilidhani ni yale ya nyimbo za taifa kugoma kupiga siku ya mechi ya kimataifa na umeme kukatika siku ya fainali tu, kumbe kuna hili liliwahi kutokea enzi za mwalimu
Hizi ni taarifa zilizopo katika tovuti ya Chelsea
Adam Nditi,
Born on 18 September 1994 in Zanzibar, Tanzania, Adam arrived at Chelsea as an Under-13 and can play either left-back or...
Enzi hizo nikiwa primary na wakumbuka hawa,wengine mwenye kuwajua aendeleze
1.Mohamedhi Mwameja
2.George magere Masatu
3.Deo Mkuki
4.Athumani China
5.Madaraka Suleimani. Mzee wa kiminyio...
Good Friday for Kenya at Dubai Sevens
Spain's Marcos Poggi (L) tackles Kenya's Willy Ambaka during an IRB World Series Sevens rugby union match in Dubai on November 30, 2012. AFP
By AYUMBA...
Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano na Usajili Abdall Bin Kleb (kushoto) akiongea na wandishi w ahabari leo makao makuu ya klabu, kulia kwake ni kocha mkuu Ernie Brandts
TAARIFA KWA VYONBO VYA...
Timu ya rugby ya Samoa ya wachezaji saba kila upande imefanikiwa kutwaa ubingwa wa michuano ya Dubai Sevens baada ya kuwafunga New Zealand kwa pointi 26-15 kwenye mchezo wa fainali uliofanyika...
list ipo kama hivi -
Crystal Palace v Stoke City
Brighton v Newcastle
Tottenham v Coventry
Wigan v Bournemouth
Fulham v Blackpool
Aston Villa v Ipswich
Charlton v Huddersfield...
Azam FC inatarajia kuelekea Kinshasa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo tarehe 13 hadi 23 December kushiriki mashindano ya Ngao ya Jamii (Charity Cup) Mashindano hayo ambayo yatashirikisha timu...
Wakuu habar zenu. Naomba msaada wenu kwa yoyote anayejua namna ya ku apply na kupata athletic scholarship zitolewazo nchini USA kwa wanamichezo vijana. Mdogo wangu ana kipaji kikubwa cha soka na...
Serengeti kishakula mbili bila na kaaga mashindano ya vijana kuelekea Morocco.. Sijui wataenda kukata rufaa maana ndio mawazo yetu hayo toka gemu ya kwanza.
Congo U17 2 - 0 Tanzania U17
Kwa sasa ni half time, kilimanjaro stars 5, Somalia 0. (Ngasa 3, Boco 2). Vijana wako vizur, inaonekana magoli yataongezeka kipind cha pili. Yap yap, ni kipind cha pili dk ya 58 magoli hayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.