Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
Ligi ya Uingereza inaanza kutimua vumbi Saturday 18th August 2012 BBC Sport - Football - Premier League Fixtures
0 Reactions
0 Replies
780 Views
wakuu habari za leo! Fixtures zinaonesha mechi leo. Kama kweli mwenye updates aweke hapa.
0 Reactions
211 Replies
21K Views
TANZANIAN football suffered a huge blow after the national soccer team, Taifa Stars, were eliminated from the 2013 African Cup of Nations qualifiers, only a day after their female counterparts...
0 Reactions
0 Replies
944 Views
Kuna webpage nadhani alikuwa anaihariri Mtazamaji ya teknohama bongo , toka jana husiku nikiigoogle ina nilepeleka kwenye link hii >>>(x10Hosting Account Suspended). Hivyo nilikuwa na muuliza...
0 Reactions
0 Replies
985 Views
Jamani leo dada zetu wanacheza na Ethiopia kuwania nafasi ya kushiriki fainali za AWC. Tafadhali tunomba updates kwa wale mlio uwanjani au mnaosikiliza radio....:amen:
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Vp kandanda linaenaendeleaje?matokeo yako vp mpaka mda huu?
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Hii nimeipata Michuzi Blog. Soma hapa: MICHUZI: BREAKING NYUZZZZZZZ........: Marcio Maximo kutua Yanga Maoni: Yusuph Manji ameanza kuonesha makucha yake. Tutegemee makali zaidi.
0 Reactions
98 Replies
11K Views
HARRY REDKNAPP was tonight SACKED by Tottenham Hotspur The 65-year-old yesterday insisted he would never walk out of White Hart Lane. But Redknapp was dumped following showdown talks with...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Eti "TAIFA STARZ!" lina faida gani Ktk kujitangaza kimataifa.Kwanza jina lenyewe "kiswanglish".Hebu badilisheni bwana! Mfano kuna watu hawajui mlima kilimanjaro upo nchi gani,kwanini tusiipe timu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndg zangu tuzo hizi zimefana sana, kwa vinywaji hasa bia za serengeti breweries, hadi chakula pia kinatolewa. Kilichonishangaza yawezekana sikusikia vizuri, nitaomba kufahamishwa kwa ufasaha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndg zangu tuzo hizi zimefana sana, kwa vinywaji hasa bia za serengeti breweries, hadi chakula pia kinatolewa. Kilichonishangaza yawezekana sikusikia vizuri, nitaomba kufahamishwa kwa ufasaha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Roberto Di Matteo has become full-time Chelsea manager on a two-year contract. The Italian guided the west London club to FA Cup and Champions League success after taking over from Andre...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Sorry tumefungwa na Ivort Coast 2-0. Source BBC Sports.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wana JF, nafuatilia kwa makini kipindi hiki cha usajili wa wachezaji wa timu zetu kuelekea msimu mwingine wa ligi kuu ya Tanzania kwa timu zetu hizi za Bongo. Ukifuatilia kwa kina utaona...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kuna mtu aliwahi kutoa pendekezo humu kuwa Simba ianzishe mashindano maalumu kwaajili ya kuuenzi mchango wa Mafisango lakini naona tumeutia kapuni mazima. Jamani ni ukweli usiopingika kuwa jina la...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Mutai finished fifth in defense of his London title in April thereby missing out on automatic selection World silver medalist Emmanuel Mutai has been drafted in the Men's marathon team for this...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo ni leo. Asemae kesho ni mwongo! Harambee Stars wanakipiga na Brave Warriors leo huko Windhoek, Namibia, kugombea nafasi ya Kombe la Ulimwengu 2014.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
kichwa cha habari kimejieleza mechi itaanza saa 1usiku.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
TIMU ya soka ya Taifa Zanzibar, ‘Zanzibar Heroes', inaongoza katika kundi "B" la michuano ya Kombe la Dunia kwa nchi zisizo wanchama wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa), (VIVA World...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom