Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
Najua kuna watakaoniita Mnafiki,lkn kama kuongelea kitu ambacho kwa mtazamo wa kawaida kabisa kinaonekana siyo cha kawaida wacha tu niendelee kuitwa hivyohivyo lkn sitaacha kusema. Watani kupitia...
3 Reactions
49 Replies
5K Views
6 JUNE 2012 AS today is the deadline for picking nomination forms ahead of July 15 Young Africans SC elections, the battle for leadership gained further rhythm as Permanent Secretary in the...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wakuu na wadau wa chelsea,boss abramovich ameamua kufanya ile ktu inayoitwa overhaul,kashanyakuwa nyota wa2 matata sasa amehamia kwa luka modric kijana ambaye ni ochestra wa mpira pale katika ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ninaishi Bunju, Dar es salaam na ninafanya kazi Samora avenue. Sijui wapi naweza kujiunga na wanaocheza table tenis nikitoka kazini?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
For those soccer fans (especially those living abroad such as myself) who weren't able to watch or attend the match, you can view it in its entirety online by clicking the link below. Emanuel Okwi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
The Borussia Dortmund attacker,shinji kagawa,will join Old trafford subject to a medical and UK work permit. source:goal.com
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ngoja leo nisiwaongelee kabisa Watani zangu, Leo tuweke unazi pembeni,tuongee kidogo kuhusiana na team yetu ya Taifa, Taifa Stars ambayo kesho tarehe 2 itateremka dimbani Jijini Abidjan kumenyana...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mechi hii ya kwanza ya kuwania kufuzu kombe la dunia 2014, itachezwa saa 2:00 usiku (EAT) kwa mujibu ESPN Soccernett katika uwanja wa kumbukumbu ya Felix Boigny mjini Abidijan. Updates nitaomba...
1 Reactions
301 Replies
22K Views
Very inspiring. Love them.
0 Reactions
0 Replies
814 Views
Brazil wala kichapo wakiwa nyumbani kwao 2 bila majibu kutoka kwa Mexico!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Dah Kidosho cha Georgia ni kikali kweli kweli.........hebu ngoja tuone matokeo..........
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Was a very nice friendly match.............
0 Reactions
1 Replies
858 Views
Tangu kuondoka kwa Tido Mhando TBC imeshindwa kuonyesha au kutangaza live mechi za timu ya soka ya Tanzania,inasikitisha sana pamoja na kuendeshwa kwa kodi zetu lakini imekua ikihusika na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
FIFA.com - 2014 FIFA World Cup? - African preliminary competition
0 Reactions
0 Replies
782 Views
Floyd Mayweather's time to head to jail has come, but will any lessons come of it? By Kevin Iole | Yahoo! Sports – Thu, May 31, 2012 9:16 PM EDT LAS VEGAS – In January, June 1...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Liverpool fans make their way into Wembley Stadium for the FA Cup final.
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Ebu sikilizeni iki kibao pamoja na kuwa na mapungufu ya idadi ya wachezaji waliocheza kutokana na mtangazaji(mwimbaji) akiwataja ni 16. Huu wimbo uliimbwa kwa ajili ya kuwaomba wachezaji wa Timu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
wana jamvi hii mech hapo juu inaonyeshwa kwenye television channel ipi?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jf, kuna stesheni yoyote ya Tv za hapa Bongo itakayorusha matangazo ya 1 kwa 1 (live)? Mwenye taarifa aweke hapa tafadhali.
1 Reactions
0 Replies
803 Views
Ni mechi ya kwanza ya Kundi D katika michezo ya kufuzu Kombe la Dunia 2014 kati ya Ghana na Lesotho, inayoendelea katika uwanja wa Baba Yara mjini Kumasi ambayo imevunjika kutokana na kuzimika kwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom