Watu wakimwamini Mungu na kufanya atakavyo:- je vita vitatoka wapi,malumbana,fitina, wivu, na rushwa, unyonyaji ambavyo vinarudisha maendeleo nyuma? Ebu tumaanishe uone mabadiliko.
Vijana wengi arusha wanapenda sana kutumia vileo, haswa bia, wine n.k! kwa aliyekaa na vijana hawa, atadhibitisha hapa! pia mi naona pombe inawapa kukosa umakin kwa baadhi ya mambo! ni wajasiri na...
This's for my beautiful best friends.
Na kwakua ni Sredi yangu ya mwisho na ya kuaga, so far itakua ndefu kiasi mnivumilie kwa hilo.
I sort of wrote it on the spot and spoke frm my heart.
So...
Unataka kuwa mtabiri? unataka upendwe na Rais aliyeko madarakani kama alivyokuwa anapendwa shehe Yahaya? Unataka kupata pesa bila jasho? unataka ukienda ukumbi wa habari MAELEZO kila mwandishi wa...
she's charming,
Humble,
Mkweli,
Mwaminifu haswa kwa mumewe Asprin, shemeji yake Kaizer ambaye naye humega kimtino na Bujibuji Kidumu chake cha kudumu kwenye shida na raha, uzima na ugonjwa...
Leo nimepanda kibasi kutoka ubungo,konda kasema tunaenda mwenge,kwa kuwa mimi ni mshabiki sana wa mwenge hasa unapokuwa unapita kijijini kwetu na ni muda mrefu siajuona,nikapanda kibasi,vuup hadi...
Jamaa mmoja alimuomba rafiki yake ampeleke mombasa kununua ndege aina ya Tausi, basi kila walipopita walikuta panauzwa Kasuku tu, wakaamua kumuuliza muuzaji ni wapi panauzwa Tausi, basi yule...
Kuna jamaa mmoja alkuwa akhishi maisha magumu baada ya kuhangaika kutafuta maisha kwa mda mrefu bila mafanikio ndipo jamaa huyu alipopata wazo la kujiua ili mradi aepukana na maisha magumu...
Jamani wapi nitapata mwaliko mie, hadi muda huu ndio maji ya ugali yanabandikwa hapo ni baada ya furu na mboga ya maboga kuivishwa.
Mbaya zaidi kwa majirani ndio kumekolea, hapa pua zangu...
Chit - Chat member hawajafanya makosa kumchagua na kuendelea kupiga kura zao kwa madame B! cku chache zilizo baki kwa pamoja tuungane kuhakikisha madame B anashinda, kwani anavyote ambavyo kila...
Jaman nmetabiliwa kwamba ntakuwa tajr''billionaire'' kesho nkiamka. Haya xaxa leta dada,shangaz,bnamu,ka we mwanamke,njoo mwenyewe nkuoe maana nafasi n chache xana na uxje ukajlaumu umekoxa nafac...
napenda kuwatakia sikukuu njema yenye furaha tele memba wenzangu wote wa jamiiforums. Hizi salaam zimfikie pia Invisible na mamoderators wenzake. mungu azidi kuwabariki.
mia
Nawasalim ndugu zangu wote wa Jf wanaonifaham na wageni pia, namic sana topic na michango yenu. Kiukweli shule inabana lakini tuko pamoja jamani. HAPPY BOXING DAY...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.