Naomba nifikishe shukrani zangu kwa mwana jf King'asti kwa jinsi alivyoweza kunipa maelekezo ya kuweza kufanya mawasiliano na modes baada ya account yangu kuwa ime expire.
Wakati nilipolazimika...
Mwajiriwa:"Boss umeniita?"
Boss:"Yeah,nenda ukapige
punyeto{masterbate}."
Mwajiriwa: (baada ya muda)
"Tayari boss,nimepiga."
Boss:"Nenda kapige tena!"
Mwajiriwa: (baada ya muda
mfupi)...
wahenga walisema 'mwembe wenye matunda ndo hupopolewa mawe',si bure tunaonewa gere,iko namna machichater tume win jf kwa ukaribu wa members wake.Vinawauma.Vinawatesa.Vinawakaba koo.Siku nyingine...
Wamakonde wawili waliingia bar huku hawajui cha kuagiza, ghafla wakaingia wachaga wawili na kuagiza "aisee muhudumu tuletee kilimanjaro mbili za baridi".
Bila kuchelewesha wamakonde nao wakaagiza...
Wakuu Mimi na Familia yangu tunawatakia Xmas njema pamoja na familia zetu.
Ila mchukue tahadhali kuu katika kipindi chote cha Sherehe, mjihadhari na ajali na matukio mengine yanayoweza kuficha...
Ndururu/Porosooo/Cash/Mabraga/Mchone/Mawe/Majani . Ipo katika Miji yote,huwafanya watu ni wenye kupendwa na kuonekana wazuri. Na pesa ni ulimi kwa Yule anayetaka ufasaha,Pesa ndio silaha kwa mtu...
U mrembo binti,na sio kwamba ninakusifia,hapana ila ndio ukweli wenyewe na hata kama nitaamua kukusifia basi sina shaka kuwa Dunia nzima haitoweza kujaa vitabu vyenye sifa zako.Ila kikubwa...
Bandugu nilikuwa kule jukwaa la stress nikaingia mahakama ya rufaa, nikawa naskia maneno MRUFANI,RUFANI,WAKILI,UCHAGUZI,MUGHWAI e.t.c mwisho wa siku nikaskia LEMA ameshindaaab, hureee kweli GOD...
A womens lib speaker was addressing a large group and said, Where would man be today if it were not for woman?
She paused a moment and looked around the room. I repeat, where would man be...
Wapendwa wana chit chat I'm on my way from Dar to Mbeya with Mama v .Pray for us to have a safe journey. Nitakuwepo Mbeya kwa muda wa juma moja, kwa wana CC mlioko Mbeya PM zihusike ili kama vipi...
Kamati ya kuchunguza na kuratibu kinyan'ganyiro cha ulimbwende wa chitchat iliamua kukaa chini kuchunguza madai yaliyoletwa na watu kuhusu faulu ambazo Madame B amekuwa akizifanya katika...
Jamani haijalishi uko wapi, kwa wale walioko shift za usiku au walinzi wa makampuni, mapolisi nk, hapa ndio mahala pake tupige story mwenzenu nimekosa ucngizi kabisa natafuta washkaji tujipigie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.