JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Baada ya mbwa wa mourinho kupewa mimba na mbwa wa sergio ramos(beki wa madrid) katika mazingira ya utata,mourinho alimlaumu sana mkewe.Mourinho akamwambia mkewe;"kama mbwa wetu ambaye ni mlinzi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kumbe Salama Jabir ndie anaetumia ID KONGOSHO. Facts: 1. Comments zake humu jamvini ni kama zile za kwenye BSS. 2. Kuna jamaa ameanzisha uzi wenye title "Salama Jabir" kule MMU, dah...
0 Reactions
29 Replies
2K Views
Naweza sema ni nyumbani kwakuwa muda mwingi nautumia nikiwa chuo kuliko home, Wanajamvi niko safarini kijana wenu, tuombeane kheri nduguzangu, Nawatakia wikiend njema wote.
0 Reactions
82 Replies
4K Views
Wana JF, salam! Hapa nilipo nahishi na wasichana wawili ila kila siku wanagombana imekua kero kwangu Nimepanga kuhama mitaa mbili further, kuna nyumba nzuri, 2 bedrooms, ila ina bei kiasi...
6 Reactions
320 Replies
22K Views
kuna msemo kwamba hakili ni nywele! Sasa inakuaje ukimwona mwenye kipara inasemakana, ana akili nyingi inakuaje?.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hivi hii nayo huwa imeekaje wazee wakubwa ? Muuzaji anauza nyumba yake kwa Mil. 10 ...! Dalali kamseti mnunuzi kwa Mil. 15 ...! Mnunuzi karidhia bei bila tatizo ...! Muuzaji anaona kaibiwa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wadau nna imani ni jioni tulivu na mko poa. Majuzi kuna Sredi ilishushwa hapa Jamvi, ikiwa inaonesha kutia mashaka wasani wa kiume wanaoshiriki sanaa ya Taarab, na mtoa Thread akawaoneshea...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Jamani nataka kufahamu tabia zao,vitu ambavyo hawapendi,je kwenye mapenzi wakoje?wavumilivu?kiburi? bado wanafuata mambo ya mila zao? ebu nipeni nondoz nataka nimrushie mmoja ndoano.
0 Reactions
45 Replies
10K Views
...huwa najiuliza mwanadada anapokuomba msaada kijana wa kiume,unakua na nguvu za ajabu kusaidi...(hapa naongelea mizigo zaidi)...leo nimekuta mdada kabeba ndoo ya maji...nikamwambia...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Hi JF! Naombeni kuuliza, hivi ushenga siku hizi ni ajira? Manake kuna sehem flan nilipita nikaona mabango yana-advertize madalalali, waganga n.k, pembeni yake nikaona bango linasomeka "MSHENGA...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
wadau sijui kama nimepatia kama hapa ni mahala pake ila naomba anayejua jinsi ya kupost video za youtube humu jf, asateni sana mdau
0 Reactions
3 Replies
2K Views
A bus stops and two Italian men get on. They sit down and engage in an animated conversation. The lady sitting behind them ignores them at first, but her attention is galvanized when she hears one...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
WA1;Sikumoja nilitaka kutoka out na mke wangu nikampigia cm akapokea hakusema halooo na mie nikauchuna hadi crediti zikaisha. wa2;aah we cha mtoto tu mimim kuna day nilirudi home ucku nikagonga...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Weekend Quotes & Sayings from varied Personalities! 01. Cheers to the freakin' weekend. I drink to that, yeah yeah. THE BOSS 02. This is how we do it. Its friday night, and I feel all right...
3 Reactions
39 Replies
3K Views
Chadema kweli mmenisaidia kuelewa mambo mengi
0 Reactions
2 Replies
800 Views
... huyu kiumbe dume humaliza vp hamu yake.... ..anapomkosa jike....!!?? ...jus concerned...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
1. Nyani haoni..............lake 2. Mficha.......hazai 3. Kumuiga tembo.......kubwa uta.......msamba 4. Man who scratch ass should not bite fingernails 5. Man with hand in pocket feels cocky all...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Baada ya kukaa miaka 5 bila kujamiiana wakiwa kama wachumba, ukafika ule usiku uliohalalishwa kwa Bwana harusi (ambaye alikuwa hajafanya tendo la ndoa tangu azaliwe) na Bibi harusi (bikra) kufanya...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Imebainika kuwa sehemu 2/3 ya Polisi wa London ni wanene kupindukia. Ili kuhakikisha ufanisi kazini, watalazimika kufanyiwa majaribio kila mwaka na ambaye hakukidhi kiwango cha unene...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimejicheka nilipokumbuka siku moja nilipokua darasa la kwanza nilifuta sehem niliyokosea kwenye daftari mpaka pakachanika! Unajua nilifutia kwa kutumia nini? Teh, teh..
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom