Mama mmoja alikuwa akihisi mumewe anatembea na hausigeli wao. Wikiendi moja bila mumewe kuwepo nyumbani wala kujua, huyo dada akamwambia mfanyakazi aende kwao siku mbili mapumziko. Usiku yule mama...
Zikiwa zimebaki dakika chache kabla ya mgomo wa madaktari kuanza nchi nzima rais wetu ametoa nafasi kwa wagonjwa mahututi kupelekwa india ili kuepuka zakhama itakayowakuta wakati wa mgomo' huu ni...
...kwenye nyumba za ibada ukitaka kuchambua wanaume waliovaa suruali nyeusi, idadi itakua juu...
ofisini...vivyo hivyo...
mtaani kitu kilekile...
kuna kitu chochote nyuma ya hili jambo?
Neno..kupiga/kuwapiga/kumpiga bao
A. kuwapiga bao = kuwafunga au kuwazidi ujanja
B. kupiga bao = kufunga kwenye mechi ya mpira
C. kumpiga bao = kumpiga mtu kofi
NENO moja ...maana kibao!!!
Tunamwitaji atakayeoteshwa kuhusu dawa ya kumaliza matakataka mijini. Na mwingine aoteshwe dawa ya kuwaondoa wapiga debe mijini. Mwingine aoteshwe dawa ya kuwaondoa wafanyabiashara...
Kuna mwanaume mmoja aliamua kusafiri na mkewe kwenda kuwaona wakwe zake.
Walipokuwa njiani gari likapinduka wakawa wamejeruhiwa na fahamu kupata mushkeli.
Mke: Mume wangu umekufa?
Mume:Kwani...
Nimechelewa ahadi ya kukutana na shemeji / wifi yenu mtarajiwa kwa dakika 10 tu nimekuta kaondoka na sms zinamiminika nyingi zikimalizia na asante / thanks. nakosa usingizi leo.
Umeme ulkatka kanisani,ghafla ukarudi! Mchungaji akasema,"kumamaye,umeme huo umerudi" Alickika mzee wa kanisa akiuliza kw hasira,"ni ****** gani anatukana kanisani?" Mmama mmoja muumin kwa hekima...
Nimechoka na udaku unaohusisha visa vya mapenzi na ngono. Mara eti huyu kafumaniwa na mke wa mtu, mara eti yule kambaka mkewe nk. Nakuletea aina mpya ya udaku unaohusu wanaJF kwa jinsi...
Jamani naombeni msaada nimeboeka hadi basi na hasira juu hv hawa wenyehii supermarket wanataka watu waende pale kuuza sura tuu? Kwasababu mimi sijawaelewa kabisa maana yao ya kutangaza kwenye...
Watoto wa siku hizi waliozaliwa kipindi cha jakaya wenyewe wamejikita kwenye bongo fleva za akina diamond na ali kiba. Sidhani kama wanapata ladha tulioipata sisi
Nakumbuka mimbo tuliyokuwa...
Padri alipotea mjini center, akamuambia kijana mmoja, naomba unifahamishe posta ilipo, kijana akamfahamisha mpaka akapajua.
Padri akamjibu asante kwa kunionesha njia na wewe njoo kanisani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.