JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Jamani nimekuwamo humu toka siku nyingi ila nimejiunga hivi karibuni. Huyu dada smile nimempenda saana jinsi anavyochangia mada na jinsi anavyotoa mada mpya. Kwanza, anachangia mada kwa heshima na...
1 Reactions
191 Replies
10K Views
Nafanya mazoezi ya kwaya kwa ajili ya kesho kanisani,Jasho imenitoka,naimba kwa sauti kali,kweli ufalme wa Mungu unahitaji moyo. hivi nye mmestaafu kwaya?
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Jamani kwa nini Wabongo wanachukia maumbile walopewa na Mungu?? Huyu Mbongo sasa hivi ana blonde hair za kizungu kabisa.... Rangi ya mwili wake imegeuka kuwa ya kizungu..... Chuchu zake...
0 Reactions
31 Replies
6K Views
WHERE WERE YOU, WHEN BROTHERS USED TO WRITE LETTERS WITH DICTIONARIES If you never received letters like these, you know nothing! Dear Sugar Time and ability plus double capacity has...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Hii ndio Simba niliyoanza kuifahamu na kuishabikia,sio ya sas!!!!!! 1;Mohamed Mwameja 2;Often Martin 3;Kasongo Athuman 4;Mtwa Kihwelo 5;Deo Mkuki 6;Twaha Hamidu 7;Mustafa Hoza 8;Fikiri Magoso...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
If you work too hard, there is never any time for her. If you don't work enough, you're a good-for-nothing bum. If she has a boring repetitive job with low pay, it's exploitation. If you have...
1 Reactions
3 Replies
873 Views
Wewe mwanamume.. "mke wa mtu ni sumu".. Utaliwa kiboga. Wewe mwanamke "mume wa mtu ni sumu".. Utashushwa kizazi. Weekend njema.
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Liverpool 1 arsenal 4 ft...........................................................................
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Majukumu yalibana kidogo, muda wa kuingia JF ukakosekana. Jumlisha na ile ajali ya mkonga wa mawasiliano kule Mombasa basi ndo visingizio kuzidi. Mtu wenu nimerudi tena, ingawa ushiriki wangu...
1 Reactions
38 Replies
2K Views
Ali kiba ft Lady jaydee - Single Boy new 2012 - YouTube Huu wimbo ki ukweli ni mzuri Ali Kiba kwa mara nyingine kafanya kazi nzuri akimshirikisha Lady Jay Dee...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
TANZANIAN HUSBANDS The SAMBAA Has one Wife Has one girlfriend But he loves his wife the most. The CHAGAA Has one wife Has one girlfriend But he loves his girlfriend the most...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Dereva mmoja kwa jina MIKE alikuwa anampeleka boss wake Airport. Njiani Boss alikumbuka kuwa amesahau document muhimu sana hivyo alimwamrisha Mike amrejeshe haraka nyumbani aifuate hiyo document...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Ni kwa wote mlio amka salama, tumshukuru mungu
1 Reactions
253 Replies
12K Views
Kunamsemo unasema "KUWA UYAONE" kweli SIO MAGOROFA... Nami ndo nayaona sasa, na nadhani msemo huo umeshatimia kwangu, Huwa nacheka sana nikikumbuka kipindi nilipokuwa kid(mtoto). Kuna...
0 Reactions
73 Replies
4K Views
Umaskini hauna adabu wajameni. Jamaa mmoja na mke wake (bado hawana mtoto) wamepanga chumba kimoja ambacho wamegawa kwa pazia ili kutenganisha sehemu yenye kitanda.. Sasa kuna kipindi walikua na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Sio jila mchaga lazima awe muuza duka, so usiogope kuitwa mangi. Usiwe na hasira za mkizi, mvuvi atakufanya dili Maisha yangekuwa karata, tungekomaa na mchangaji mpaka ajute Kama wakat aka muda...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
mtu anataka: kuandika barua ya kazi...google kutoa speech...google tempelate zoote...google cv...google hata naniliuuu...google co mbaya ni search engine lakini tusilemae sasa! af...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Kuna kampun imeamua kuanzisha bima ya mke/mme,kwa hyo wale wenye wame au wake wanatakiwa wawekeze ili mmoja wenu akifa au kuachana hii bima ikupe mke/mme mwingine. Wekeza maisha,wekeza mwenzio.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Yaani sijui ni nini. Nakaa mchana kutwa najiapiza mi sinywi tena pombe! Nakaaaaaaaaa mpaka saa 12 jioni ghafla kiherehere kinanianza! Kunywa japo bia moja aaaaaah kunywa konyagi! Aaaa basi hata...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
jamani tuanzie wapi leo. wapi Babii jamani
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Back
Top Bottom