JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Msisahau kuja na vinywaji nyama imeishaanza kuiva taratibu........
13 Reactions
266 Replies
14K Views
1.Umefanya kazi kwenye kampuni miaka saba na hujapandishwa cheo. 2.Unafeli hesabu,english na kiswahili pamoja. 3.Ukiwa polisi halafu unaonea raia. 4.Kama gari lako mwuda mwingi lipo garage...
3 Reactions
156 Replies
8K Views
Mwanakwaya anamlalamikia padre: " Padre, mke wangu hajui kunanihii . . . . . kabisaa mi namwaacha haki ya nani!" PADRE AKIJIBU KWA CONFIDENCE: “. ...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Baada ya kulewa chakali na rafk yake mpya aliyempata bar, mlev akamkarbsha rafk mpya akapaone kwake, walipofika mwenyeji akaanza intro ...unaona makochi yale, ni makochi yng, njoo jikoni...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
sikiza mazungumzo ya baba na mwana baba.. we mtoto umekuwa huna adabu mtoto.. baba usinizengua kwani kama vipi naweza kukulipa malezi yako toka unzae baba.. we mtoto una pesa ya kunlipa mimi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
True story. Ni mtu mzima alitembelewa na baba mkwe wake (mtu mzima unaelewa kuwa ana watoto wakubwa). Sasa ukafika wakati wa chakula. Baba mwenye nyumba (mtu mzima) akamwambia mkewe apakue...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Baada ya Zuzu kumaliza kozi ya uchungaji na kufanya kazi kwa muda, siku moja akakutana na wachungaji wenzake 2 wakaamua wafanye toba wenyewe maana kila siku wanawafanyia toba waumini wao. Basi...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
A man was brought before the judge and charged with Necrophilia. The judge said to the man, "In the 20 years on the bench, I've never heard such a disgusting, immoral thing. Just give me one good...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
{Mtoto wa nyoka}~Hivi mama sisi ni aina ya nyoka wenye sumu au hatuna?. {Mama nyoka}~Kwanini unaniuliza hivyo mwanangu?. {Mtoto wa nyoka}~Nimejing'ata ulimi wangu.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Facts about you
0 Reactions
14 Replies
1K Views
jamani ni noma na Musa hussein wa Ea wamemchukua anatarajia kuanza kurusha kipindi kipya clouds tv Source:amplifier by millard ayo
0 Reactions
3 Replies
4K Views
dah, ujana ule na wengine uzee upeleke kwa mwingine. Mihela utumbue na wengine, umaskini uniletee mie. Inahusu? Nikome babu wee utasugua benchi sana mwaka huu, hata hela ya dala dala huna...
3 Reactions
43 Replies
3K Views
mimi ni mgeni jf natafuta demu awe mpenzi wangu kwenye simu tu
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Ebwana mambo vp?dah!kama dizaini kitambo sijazama pande hizi.Autuseme sija post ***** humu Chitchat,ebwana leo ndo kijana mwenzenu,au mtoto wenu au mjukuu wenu au ata mtoto wenu piya,ndo nazariwa...
0 Reactions
66 Replies
4K Views
Members, Limekaa moyoni kwa masaa hatimae nafsi imenishinda. Jana usiku mida ya kama saa 3 hivi nilikua nimekaa nje ya kaduka kamoja hivi, namsubiria dereva wa Bodaboda niliemzoe kukodi...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Jana kulikuwa na ndege ya Precision Air kutoka Johannesburg to Dar es Salaam, ndege ilitakiwa kuondoka saa saba usiku (1am ) lakini haikuondoka mpaka sasa hivi ninavyoandika hapa JF. Kutokana...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Leo nilikua mwenge mida ya saa tisa jioni nikaingia AZAM wakati napata kinywaji kuna dada mmoja alikua pembeni yangu na cm yake aina ya blackberry asa yule dada akaniuliza jambo baadae tukazoeana...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Mwezi ndo umeisha ivo,kona ya jokes kama kawaida pumba zimeshamiri,nani ameongoza kwa jokes kali?binafsi,japo kwa muda mfupi, Excellent ameongoza.Na nna top ten kichwani pia............
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Hotuba ya Jana ya Mh. Dr Jakaya iliweka wazi mambo kibao tuliyodanganywa kwa makusudi na waTz wenzetu, na leo katema cheche juu ya wanunuzi wa korosho! Bravo JK! Eti na mimi nawasilisha!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Huyu mtoto kanipeperushia ndege wangu bhana.ndege wangu alishaingia tunduni kabisa yeye kaja huko basi kaharibu kila kitu ...na namloga sitaki utaki tena. na inabidi alipie gharama zote
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Back
Top Bottom