JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mwanamke yyte ambae anaweza kutoka out na mm usiku wa leo ntampa zawad ya blackberry torch 9810, email me on emilrama@gmail.com or pin:228CA8B0.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
haya baada yakutafakari muelekeo wa siasa za nchi yetu ninahisi kuwa kuna uwezekano wa uhusiano wa Jina la kiongozi na hali ya nchi, kwa mfano Nyerere na swala zima la ujamaa jina likiwa na asili...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Najua mpo wengi tu, hebu jitokezeni mtupe mkasa mzima.
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Mamb ni vije? Kwenu Jf members eeba! Wakuu mi nimeleta thead hapa jamvini tofauti na wengine mimi ¤napenda sana kuishi vijijini ¤napenda kumtumikia mungu¤sipendi sifa¤napenda kuchati with...
0 Reactions
3 Replies
258 Views
Smile jamvini karibu, Japo waona aibu. Mimi si mtabibu, Ila mama Umemtibu. Member wote tuliomba, Mama apate kupona. Sina haja ya kupamba, Kila mtu aliona. AshaDii alikwambia, Mungu ataporidhia...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Nikamwuliza niweke? akasema weka, nikaweka, nikamwuliza nilambe, akasema lamba, halafu nikalamba, mchezo ukaenda, nikalamba tena, nikalambaaa!si akageuza,nikaanza kulamba tena,akageuza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kati ya Kiboko na Mamba nani kiboko.....
0 Reactions
7 Replies
1K Views
My sweety Sweetlady jitayarishe na uvae lile gauni lako mda umefika twende tukaisherekehe Valentine.
0 Reactions
34 Replies
2K Views
WanaJF sinauhakika kama ilishawah kupita hapa hv unajua vitamu vyote vinaanziwa na herufi K - Keki - Kababu - Kachori - Koni - Kulala Bila kusahau ninachojua unacho kiwaza na sio kingine ni...
1 Reactions
38 Replies
5K Views
Jamani, siku ndio hizo zinajivuta. Hebu chagua wa kwenda kutembea nae siku ya valentine ila awe ametoka humu. NB: Matembezi ni humu humu, mkiamua kwenda chit chat hakikisha na partner wako...
3 Reactions
288 Replies
15K Views
Nimekutana na hii maneno nimeona niwajuze ili mtu usije ukaumbuka bure na haya ma-CCTV camera. Aibu kweli jamani! Hebu angalia mwenyewe uone mtu alivyoumbuka hapo. Link Lauderdale Rolex Thief...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wanaume nyieeeee dameeeeee aaaaa
0 Reactions
34 Replies
2K Views
Leo mchana nimepata kitu kilicho nishutua sana kuwa eti mafisadi baada ya kuona account zao zita taifishwa nje/ndani wameamua kuzihifadhi pesa zao kwenye simu/laini ya kila mmoja wetu. Ambaye...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
WanaJF wenzangu habari za mida nimekumbuka mbali sana mara tuu nilipomkumbuka marehemu mjombaangu aliyekimbilia jijini hapa tangu miaka ya 1987 baada ya kukorofishana na baba yake mzazi juu ya...
0 Reactions
59 Replies
5K Views
Dogo anawaza kwa kinaaa........
0 Reactions
2 Replies
1K Views
......anauguliwa na mama yake mzazi ambaye alikuwa katika critical condition, lakini kwa sasa she is promising. Imemlazimu Smile kuchukua likizo kwa muda mfupi ili awe karibu naye katika kipindi...
4 Reactions
51 Replies
3K Views
Hi wanajf katika huu mtandao chini ya neno forum kulikuwa na neno la today's posts kwa sasa ni wiki moja silioni sjui imekuwaje maana hii ilikuwa inasaidia kusoma kwa urahisi posts kwa siku hiyo...
1 Reactions
0 Replies
748 Views
kale nilijua ugoro ni kwa ajili ya babu na bibi zetu (wazee) ila kadiri cku zinavyokwenda naona soko linakua kwa kasi naona matangazo ya kuhusu ugoro yanaongezeka... nimeona ukuta mmoja maeneo...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Huo wimbo hapo chini ni mfupi lakini unamaana kubwa ni zawadi yangu kwenu wana chit-chat, naomba mnipe title na jina la muimbaji :poa Living everyday as it comes, i wake up early and greet the...
0 Reactions
7 Replies
986 Views
In a battle a general was shot in the butt, and he called a surgeon to treat his wound. The doctor came to have a look, and then cut off the arrow shaft with a big pair of scissors. "Done!" the...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom