A guy gets home early from work and hears strange noises coming from the bedroom. He rushes upstairs to find his wife naked on the bed, sweating and panting. "What's up?" he says. "I'm having...
Wakati watu wakigombania kupanda kwenye daladala la mbagala kama kawaida yao,bibi mmoja alipanda bila shida akapata siti.
Baada ya muda konda akamuuliza "bibi unalia nini?" bibi akajibu "miaka...
Naam ni mwanao
Mwanao wa kumzaa
Unampenda sana tena sana tuuuuuuu
Unatamani awe na maisha bora
Akuletee heshima
Umemsomesha kwenye shule nzuri na zenye heshima kitaaluma
Hapa kati hapa unagundua...
Wadau ni imani yangu mmeamka salama.
Katika hali isiyo ya kawaida, ndoa ya mfanyabiashara maarufu wa Nazi hapa mjini kwetu, iliingia utata yapata miaka miwili iliyopita.
Mke wa...
Nakumbuka enzi bado niko mdogo ilikuwa ni marufuku kwa mtu yeyote kuongea wakati wa chakula isipokuwa baba a.k.a dingi. Halafu unakuta kamlango kanasogezwa kidogo kama kanataka kufungwa hivi...
a was in her late thirties and still not married. She just had a hard time meeting men.
And the men she did meet all ended up being jerks.
Finally, she decided to place an ad in the personals in...
MONEY CAN BUY:
bed but not sieep
books but not brain
cosmetics but not beauty
a house but not a home
food but not appetite
religion but not salvation
luxuries but not culture
a passport to...
Katika purukushani zangu za hapa na pale kuna memba mmoja wa JF wa zamani (jina kapuni) akanionesha demu wa JF. Kuingia JF na kuona avatar yake wache niumie mbavu kwa kucheka, ni vitu viwili...
...kwamba dar ilifanyika mechi ya mpira wa miguu kati ya C.C.M na CHADEMA.Mpaka kipindi cha kwanza kinakwisha CHADEMA 3-0 C.C.M.Baada ya C.C.M kuona hali imekuwa mbaya wakaweka mpira kwapani kisha...
Mtoto: baba sasa ivi saa ngapi?
Baba: mabetri yaliisha chaji kwa hiyo saa imesimama.
baada ya kuweka mabetri;
Mtoto: baba unaifanya nini hiyo saa?
Baba: nairekebisha ili iwe sawa na saa...
At the age of 6 yrs Mommy, I love you.
At 10yrs Mom, whatever.
At 16 yrs My mom is so annoying.
At 18 I wanna leave this house.
At 25yrs Mom you were right.
At 30 yrs I...
Katika kutekeleza majukumu ya kikazi mkoa mmoja kusini mwa tz,mtoto wa mkulima alienda kukagua visima. Alipopelekwa akataka achungulie ndani. Kuchungulia akaona kitu kama chura,akauliza: humu...
John alimtembelea rafiki yake Japhet ili ajue maendeleo ya ujenzi wa nyumbaya Japhet. John akafika kwenye hiyo nyumba mpya ya japhet na kumkuta rafikiye akitokwa na majasho mengi huku akiwa bize...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.