JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
A lil boy asks a lil girl if she would marry him when they grow up. :mwaaah: The lil girl answers: I am sorry, I can't... In my family we only marry our siblings. My grandpa married my grandma, My...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mapenzi bana...yana vituko sana. Mtu anakuambia 'you are the best I've ever had'! 'Sijawahi kumpenda mwingine kama ninavyokupenda wewe'! 'Wewe kwangu ndo mwanzo mwisho'! 'You are my all and...
5 Reactions
71 Replies
5K Views
Wengine mademu wanajifanya majibaba! Wengine majibaba wanajifanya mademu! Wengine maroboti wanajifanya binadaamu! ...
0 Reactions
46 Replies
3K Views
1912: Dracula used to drink virgin girls' blood.... 2012: He's dying of hunger! Source: Copy & Paste!.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Utafanyaje? unapoingia chooni na kukuta mtu kanya pembeni ya choo muda mfupi tu uliopita, unafikiria na unaamua kuahirisha, unatoka. Mara mlangoni unapishana na msichana mrembo unayemtamani siku...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
wimbo wa "Lonely boy" by the black keys, yupo mBongo-bongo, hebu mpe kabila LOL Follow the link below to view the video on youtube The Black Keys - Lonely Boy (First Listen) - YouTube
0 Reactions
1 Replies
983 Views
naomba kuuliza kwa wadau. hivi ili mtu aitwe jambazi sugu inabidi awe na sifa gani? au afanye mambo gani?. je hizi ni hatua za kufikia ujambazi sugu? mdokozi-kibaka-mwizi-mwizi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
siku moja kulikuwa na mzungu mmoja na wabongo kibao kwenye daladala ya kuelekea masaki basi ilipofika saa ya kukusanya nauli konda akasikia harufu ya ushuzi, ndipo akauliza nan kajamba.jamaa mmoja...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Leo asubuhi katika kipindi cha mahojiano cha Channel 10, amesikika mtoto wa marehe Sheikh Yahya Hussein akiongelea utabiri wake wa mwaka 2012. Moja ya kitu alichokiongea ni kuongezeka kwa umaarufu...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
tafsir ya moja kwa moja! *katelefon dont smoke my river-kasim usivute mto wangu. *dont bread your friend millet!-usimkate rafiki yako mtama. continued!
1 Reactions
35 Replies
3K Views
  • Closed
From day one hiyo Avatar yako ilinikonga plus tofauti za wavulana na wanaume ikamalizia kabisa. Jiandae nimeamua kuleta posa, sitaki michango ntagharimia kila kitu. Ya nini nife na kijiba cha...
3 Reactions
213 Replies
12K Views
Jaman nsaidien kupata matokeo ya tahosa kdato cha3 nfanyeje......?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hebu fikiria uko sebuleni kwako, uko wewe, mkeo, watoto, wakwezo na marafiki mnaangalia taarifa ya habari kwenye luninga. Mara anatokea presenter mwanaume kwenye luninga kuendelea na taarifa ya...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Jamani nisaidieni! YANI NKISIKIAGA NJIMBO MOJA HIVI YA CDM IITYAYO operation sangara ROHO INATIKISIKA. Kweli siyo kujifanya wala kufanya kampeni. Ila naipenda kinomaa. Ntaacha hata kula hasa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mchaga alidumbukia kwenye shimo la maji mkewe alipopata taarifa alikimbia kununua kamba amuokoe mumewe mara baada ya kufika na kumtupia ile kamba mpya yule jamaa akamwambia mkewe hii kamba mpya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
A guy walks into a bar with his pet monkey. He orders a drink and while he's drinking, the monkey jumps all around the place. The monkey grabs some Olives off the bar and eats them, then...
0 Reactions
2 Replies
883 Views
huwa nafuatilia sana kipindi Cha Asubuhi..za dondoo za habari magazetini angalia hii: Kurasa za Mbele:KITAIFA . Magufuli awarushia kombora wabunge wa dar...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
mim niko A-Town ila siwajui wana Jf waliopo hapa mjini maana wengi wao naona wanaishi Dar ndio nataka niwajue na tujuane. Nawasilisha.
0 Reactions
48 Replies
3K Views
Kuna watu wanapenda kupost mada wakisema kwa wanaume tu,au kwa wanawake tu! Kwa tathmini niliyoifanya kwa muda sasa nimegundua ile jinsia ambayo haihusiki ndiyo huchangia sana hiyo thread kwanini...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom