JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Ujumbe yesu anatosha enyi wenye majaribu ya ndoa mungu awatie nguvu majaribu ya uchumba mungu awape uvumilivu usiku mwema
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mwaka wenda kuisha hivyo lakini nitakuwa mchoyo wa fadhila kama sitawashukuru hawa watu kwa kufanya uwepo wangu hapa uwe wa manufaa sana. Naomba niwataje bila mpangilio maalum; Wa Kike...
13 Reactions
311 Replies
16K Views
Sababu ninazo, ila sitazisema kwa sasa. Kifupi siwapendi hawa jamaa kwa ujumla wao! Naomba hisia zangu ziheshimiwe...
0 Reactions
92 Replies
5K Views
Note: This application will be incomplete and rejected unless accompanied by a complete financial statement, work history, lineage, and current medical report from your doctor. 1...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
How Tanzanians request songs on radio-Kuswahilisha kila jambo (eti ya kweli hayo?) Samahani naomba kuagiza nyimbo zifuatazo: 1.Duka la pipi-senti hamsini (yaani candy shop ya 50cents) 2.Mnunuzi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Theorem: All numbers are equal. Proof: Choose arbitrary a and b, and let t = a + b. Then a + b = t (a + b)(a - b) = t(a - b) a^2 - b^2 = ta - tb a^2 - ta = b^2 - tb a^2 - ta + (t^2)/4 = b^2 - tb...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
what is hate? Who is the couse of hate? Why hating? What are the faida of hating? What is next after hate? please nahitaj explanation ndicho kinachontatiza!
0 Reactions
2 Replies
956 Views
Jamani nimepanga safari ya kutoka Dar kwenda Loliondo kwenye shughuli zangu Kikazi. Kama kuna m2 anataka Kwenda kwa mzee Ambikile mwaisapila namkaribisha kwa Lift. but kamchango ka 100,000 ka...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Jamani mwenzenu naupenda huu wimbo wa French Boy na Ray C. its a song that carries me away big time. french boy ft ray c-moto moto - YouTube
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndugu wana JF wenzangu, ninayo furaha kukufahamisheni kuwa nitamaliza deni langu la mkopo wa bodi ya elimu ya juu mwezi huu. Zamani walikuwa walikuw wakinikata 10,000 kwa mwezi wakaja kubadili...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Some daughters-in-law are well trained and well mannered.... They don't come to change the family, they are here to ... ( READ ON !) The new wife was being welcomed at the husband's home...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
A wife was sure her husband was banging the maid. One evening she (wife) went to the maid's bedroom & ordered the maid to sleep in her marital bed, she (maid) complied. So she (wife) lay in the...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Jamani haya mambo yapo? (Kwa wale wenye computer angalieni avator yangu kama unatumia nokia imekula kwako labda aje mjanja awawekee mambo sawa).
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kuna hiki kiumbe lakini cha ajabu hapa duniani kiitwacho Mwanaume. Ni cha ajabu kutokana na uwezo wake wa kubadilika kufuatana na mazingira kilichomo kwa wakati husika. Hakika hata yule bingwa wa...
0 Reactions
15 Replies
7K Views
Why don't men wear tight underwear? It cuts off circulation to the brain! Why do men have broad shoulders and big foreheads? When you ask them a question, they shrug their shoulders and...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mhindi,mpare na mchaga walienda kutoa msaada wa pesa kwa maskini.lakini waliweka masharti ya kupata huo msaada.na mambo yalikuwa hivi:- mhindi>mimi ntachora duara kisha ntarusha pesa...
2 Reactions
68 Replies
6K Views
Hamjambo wana kubwa kufikili jamani naomba kuuliza hivi ni nani anaepanga siku za mwezi wa fe kuwa 28 au 29? Maana zamani ilikuwa mwaka huu 29 unaofuata 28 lakini sasa hivi tofauti mwaka 2010 na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wengi wetu humu wakati tukiwa watoto tumekuwa katika mfumo tofauti kabisa wa maisha tofauti na yalivyo sasa kwa mfano mi nikiwa mtoto karibu kila sikukuu tulikuwa lazima tule pilau haijalishi ni...
0 Reactions
94 Replies
6K Views
Mwanamke kutumia jina la mume., mf: khadija slave. Hapo kwa mtu asie mfahamu khadija si anaweza kujua slave ndo baba yake? Kama hiyo ni sawa basi nami kuanzia sasa nitaitwa slave khadija.teh teh!
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Hivi kati ya WANAUME na WANAWAKE ni wepi wenye uwezo mkubwa wa kuhimili pressure za kusubiri majibu bbda xa kupima NGOMA?Mia
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom