JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kulikuwa na mwislam mmoja yeye alikuwa mtoro sana katika mambo ya ibada yeye zake ni IDD hadi IDD" sasa siku moja shekhe akamuuliza kwanini kwenye ibada hatukuoni? Akamwambia mbona na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wewe je! Hata sijui ni nani vile
0 Reactions
14 Replies
2K Views
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kumbe kompyuter inaunguruma kama simba na screen yake ina vibrate kama simu!! Fungua microsoft word kisha type neno "Y4AreST4p1d" utaona baada ya sekunde kumi, kisha funga haraka hiyo window.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hi story tulikuwa tuna ambiwa zamani tukiwa watoto sina uhakika kama ni ya ukweli. Spika Marehemu Adam sapi Alikuwa anaongea kwenye mkutano wa UN wakati sauzi Afrika haijapata Uhuru,akasema. I...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jamani tumekuwa wepesi wa kusaidiana pale mtu anapoleta suala lake humu, mm nimepost thread kama tatu humu leo nikieleza namna ambavyo maisha yamenikaba nashangaa leo kila mtu yuko kimya naombeni...
0 Reactions
0 Replies
824 Views
CHADEMA hadi hivi sasa tungesha tengeneza zaidi ya Millioni 50 za Kitanzania kwa kuuza magwanda. Ikitokea mtu akafungua baroo la mtumba wadau wakakuta nguo inyoelekea kufanana na gwanda la chadema...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamaa kakutana na demu kwenye soscial network wakaanza kuchat,jamaa kaomba email ya demu ili wawasiliane zaidi, demu kampa hii. ninaboyfriendwangunampenda@yahoo.com jamaa kampa na yake...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
wakuu mi ndiye agent wa hizi boda boda kama unahitaji please tuwasiliane!!ni nzuri na hazichoshi kuendesha!!
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Sijui hata tufanye nini, yaani nimeandika tu. Iam sory jamani
0 Reactions
4 Replies
819 Views
katika kile kinachoaminika ni ndumba katika soka la kibong*,ikatokea siku wanatakiwa wakakipige senegalile. Basi, manguli wa ndumba kadhaa wakakwea pipa na wenyewe kwenda kuipiga tafu timu yao...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu zangu hakuna siku niliyoboreka na kichwa cha habari cha gazeti la mzalendo enzi zile likiwa ni gazeti kikiwa kinasomeka hivi " yanga mbende mbende kwa sigara" siku iyo ilikuwa jumapili ndo...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Yaani leo sijui hii siku yangu imekaakaje, yaani sijisikii powa kabisa, chai sijapiga halafu sina hata hamu ya kula, mfukoni bila bila dah! hii yua leo hamna kabisa. Nimechok mbaya, Hamna mwenye...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Yaani leo sijui hii siku yangu imekaakaje, yaani sijisikii powa kabisa, chai sijapiga halafu sina hata hamu ya kula, mfukoni bila bila dah! hii yua leo hamna kabisa. Nimechok mbaya, Hamna mwenye...
0 Reactions
2 Replies
908 Views
A funeral service is being held for a woman who has just passed away. At the end of the service the pallbearers are carrying the casket out when they accidentally bump into a wall, jarring the...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamaa kajitoma mskitini ghafla majasho yanamtoka! Mkononi kashika panga kali, Akauliza,"nani muislamu hapa," watu kimya. Karudia tena kimya. Ghafla kamnyakuwa jamaa alikuwa karibu na mlangoni...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
wazee wa juju walipokwenda na timu ya taifa senagal kusaidia kuleta ushindi,kufika uko wazee wa ndumba wakaanza wao kurogwa kabla ya wachezaji...............
0 Reactions
2 Replies
1K Views
sifa zangu ni mpole, mzuri, napenda pombe kali, chakula kizuri, mtoko wa maana, cost tunashea, ikitokea tukataka ku sex lazma condom sijapima bado, ni mrefu mweupe asili ya shombe kwa mbali, niko...
4 Reactions
301 Replies
16K Views
BAHIL: ndizi moja sh ngap? MUUZAJ: ndizi moja sh 100. BAHILI: nipe kwa sh 60. MUUZAJI: kwa sh 60 unapata maganda tu. BAHILI: Sawa basi shika sh 40, nipe ndiz tupu, hayo maganda ya shlng 60 yatoe...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Jamaa katenda dhambi zake humu ulimwenguni,alipofariki kaenda kuzimu, kufika shetani akamwonyeshea vyumba vitatu na achague moja ambayo ndo inakuwa ya mateso yake. Kampeleka chumba cha...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom