JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mambo ya Holiday...
0 Reactions
3 Replies
993 Views
Dah' guyz wa humu nimewamic..
2 Reactions
18 Replies
1K Views
There was a guy at a bar, just looking at his drink. He stays like that for half of an hour. Then, big trouble-making truck driver steps next to him, takes the drink from the guy, and just...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
More than one million tourists visited Kenya this year despite numerous travel advisories, figures released by the Kenya Tourism Board (KTB) show. The industry weathered Al-Shabaab attacks and...
0 Reactions
2 Replies
805 Views
jaman jaman jaman hivi hizo likes zinatolewa kwa ubaguz au? Natumia nokia e65 na pia browser ni opera min 6.5 tangu nimejiunga nasikiaga watu wanapeana likes ila mim sijawah kuona hcho kitufe...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Imagine yale mabao ya usiku katika mechi yangekuwa na sauti! Yan masikio yangeziba make mara huku pyuuuuuu!!!!!! mara titktitktitkti!!!! mara papapapap!!!!!! na milio mingine ongezea
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Mke kamkuta mume wake kaweka m*** yake kwenye beseni la maji; akashtuka na kwa taharuki kamuuliza, "mbona umeweka m**** yako kwenye beseni?" mume akamjibu, "Natafuta puncture maana leo siku ya...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
awe mzuri kama huyu asiwe mroho kiasi kwamba akaanza kunisumbua mala chps mala oooh nataka kuku safari.nkbari aje amekula kabisaaaaaaaa!!!!!
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Mume: nambie ukweli mke wangu, hivi ushavunja uaminifua mara ngapi? Mke:siku 1 nililala na mwenye nyumba sababu alidai kodi. Mume: sio mbaya. Mke:mara ya pili siku ulipofanyiwa operation tukiwa...
3 Reactions
12 Replies
3K Views
Jamaa karudi home usiku wa manane.Moja kwa moja akazama chumbani,akafunua blanketi,akaiona miguu minne badala ya miwili aliyozoea.Jamaa akafunika blanketi taaratibu,akachukua bonge la...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
jamaa mmoja wa kichaga alikuwa anachota maji kisiman kwa bahat mbaya akadumbukia kisiman mkewe akaja na kamb mpya kumuokoa mumewe akamuuliza hy kamb umenunua sh ngap?mkewe buku mumewe rudisha kwa...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
A christian guy asked a muslim guy: 'Why do your females cover up their body and hair?'The muslim guy smiled and took out 2 sweets, he opened one and kept the other one wrapped. He threw them both...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kulikuwa na mahojiano kati ya baba na mtoto, mtoto unamuliza bab'ake sehemu za siri zinaitwaje? BABA: hizo ni heshima mwanangu. Siku wakaja wageni mtoto akaleta shida mbele ya wageni ilibidi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Katika shughuli zangu napanda daladala mara nyingi sana. Kama ilivyo kawaida abiria wengi wanapenda kuzungumza sana. Wazungumzaji wakubwa niwapendao ingawa saa ingine wanakua kero ni wamama...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Babu yangu ana umri wa miaka 70 na ana wanawake 10, mke wa kumi alikuwa ni mchumba wangu ambae tulipendana sana na kuahidiana kuoana. Lakini kwa Tamaa ya wazazi wao kupenda mali babu aliwarubuni...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Memories..
0 Reactions
5 Replies
993 Views
Waungwana laaziz wangu siku ya jana nilitaka kumsaplaiz ila alikuwa hapatikani kwenye simu tangu saa 11 jioni mpaka leo saa 6 mchana,nilipompigia amesema simu iliisha chaji na umeme ulikuwa...
0 Reactions
64 Replies
5K Views
Asubuhi mapema siku ya krismas baba na mama wakaingia kanisani kwa ibada ya Krismas. Hawa wawili wakakaa kwenye kiti kirefu mama akiwa kushoto kwa mumewe.Mahubiri yalipoanza, baba kapepesa jicho...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Miaka ya nyuma kdg alikuja mzungu akatengene sinema ya docmentary,ikionyesha wabongo hasa kanda ya ziwa wakila mabaki ya sangara toka viwandani, maarufu mapanki! Kumbe hata wakenya hali...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu, kuna wakati nimegunduwa kuwa mwalimu anaheshimika nje ya nchi kulko ndani kama ilivyo kwa "manabii" wengi... Hivi hii kwanzaa celebration mbona kama ideas za mwalimu? Ama mwalimu ndo...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom