Kama ilivyo kawaida yetu Serikali ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania inajiaandaa kuunda tume huru ya kuchunguza chanzo na athari za mafuriko yaliyotokea jijini dar es salaam ndani ya hizi siku mbili.
Wavuta bangi wawili
waliliona embe juu ya mti
wakaamua
kuliangusha.Walirusha
mawe mengi bila
kufanikiwa kuliangusha
lile embe.Mvuta bangi
mmoja akasema;isije
ikawa embe lenyewe
bichi,ngoja nipande...
Bosi wa Tanroad aliwapeleka ma-contractor watatu(mtanzania,mjerumani na mfaransa) kwenye daraja linalohitaji ukarabati ili wapige makadirio wanahitaji kiasi gani. Contractor Mfaransa akalipima...
Mwalimu alimuuliza mwanafunzi wake: Mwalimu 'gari kwa kiingereza inaitwaje?. Mwanafunzi akajibu 'CAR'. Mwanafunzi wa pili akaulizwa, Mwalimu 'baskeli kwa kiingereza inaitwaje?. Mwanafunzi akajibu...
[1]Katika viumbe vyote ni binadamu na dolphin pekee ndio hufanya mapenzi kwa kujistarehesha,wengine hufanya kwa ajili ya uzazi.>>> [2]Ukimkuta Nyati anaoga atajitahidi kadri anavyoweza...
Last week niliitwa kwenye kikao cha kesi ya kifamilia.
Mimi nikiwa mmoja wa viongozi wa serikali ya mtaa nilikuwepo kikaoni kwa nafasi yangu.
Shtaka lilikua baina ya Mke na Mume, ambapo mke...
Napenda kujitakia siku njema ya kuzaliwa, nawashukuru wazazi wangu kupendana na kunizaa mtoto bomba kama mimi,
namshukuru mwenyezi mungu kwa kunipa pumzi mpaka sasa, nashukuru family yangu kwa...
Ndio nimerudi jana kutoka Mbekenyela Lindi kusimamia Harusi ya Shoga yangu, hamjambo wana JF wote!
nawatakia sikukuu njama za X-Mass na Mwaka Mpya, Inshaallah Mungu akipenda nitakuwa Jijini Dar...
"Mwenzio nina shida kubwa sana najua wewe ndio wa kunitatulia shida yangu,naomba uniazime sh laki tatu tu nitakurudishia wiki ijayo,najua unazo" alisikika Wa kusoma akiiomba ATM moja(jina la benki...
MC akasema,sasa nawapa sifa kubwa ya bibi harusi mtarajiwa,yeye huwa havai nguo za ndani,watu wakaduwa na kubaki vinywa wazi,akasema narudia tena na sijakosea,yeye huwa havai kbs nguo za...
Wadau pokeeni salamu zangu mi ninaenda zangu vijijini hakuna network.nawatakia mafanikio ya mwaka 2012 na Hongera sana JF kwa kazi nzuri ya kuelimisha jamii
Napenda kujitakia siku njema ya kuzaliwa, nawashukuru wazazi wangu kupendana na kunizaa mtoto bomba kama mimi,
namshukuru mwenyezi mungu kwa kunipa pumzi mpaka sasa, nashukuru family yangu kwa...
Superb answers They should fire the examiner who set those questions
Answers of a Brilliant student who obtained 0%Q. In which battle did Tipu Sultan died?
A. His last battle.
Q. Where...
What happens first always appears better and more original than what comes after. If you succeed a great man or have a famous parent, you will have to accomplish double their achievements...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.