JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Christmas is a day created by capitalists to increase public spending. HALLOWEEN NIGHTS, BEER FESTIVALS, MOTHERS' DAYS ETC ETC. Do we need all those? A peasant spends an entire year working to...
0 Reactions
0 Replies
753 Views
Kuwasamehe wafungwa, waliotukosea na kuanza. Tunawaomba invisible mwasamehe wale wote walipigwa bann za kudumu na za muda. Plz msimusahau WA KUSOMA, mwacheni huru tumemmis jamvini. Nawasilisha...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Ebwana ndugu msaada kwenye 2ta..nataka kuonganisha internet kwenye Simu yangu ya lg kp500 mtandao nao2mia airtel naomba msaada
0 Reactions
1 Replies
841 Views
Tuache ubishi na vichwa ngumu....aisee maisha ya majuu ni kubwa kuliko zaidi ya haya ya Bongo mavumbini.....Majuu ninayoizungumzia sio ile ya Slovania,Romania,Ureno na wenzie....majuu hii ni ile...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Salam zangu kwako msomaji, niko vema kiafya, kisaikolojia na hata kiutamaduni pia. Kuna haka katabia kapo mitaani kanatokea kwetu, marafiki zetu na ndugu pia. Ni hii tabia ya mabinti (hasa wa...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
"Ni rahisi sana serikali kuhamia Dom kuliko sisi kuhama mabondeni" wakazi dar
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Tafasiri inaitajika Haraka Sana Talking Twin Babies PART 1 Talking Twin Babies - PART 2
0 Reactions
2 Replies
946 Views
Kuna jamaa mmoja alikuwa stranded katika kisiwa fulani.Pale kisiwani palikuwa na mti mmoja tu.Yule jamaa akaukata ule mti ili aandae mtumbwi utakaomsaidia ku-escape pale kisiwani.Mara ghafla...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nawatakia sherehe na mapumziko mema ya sikukuu za Krismas na Mwaka Mpay 2012.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Baada ya kumzika changudoa mmoja maarufu, watu walishindwa kuamua waandike nini kwenye kaburi lake.Hatimaye akajitokeza mzee mmoja akaandika; AT LAST SHE SLEPT ALONE!
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Tarehe 25/12 itakuwa ni siku ya xmas lakini pia itakuwa siku yangu ya kuzaliwa so kwa wale wenye mapenzi mema naanza kupokea zawadi kuanzia sasa halafu mi mtanidai siku nyingine...............
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Mwaka unaoelekea kuisha sasa nimekuwa naruka ruka sana (Ujana) sasa mipango yangu ya mwakani ni kuhakikisha naweka jiko ndani.............. This appears on top of my To Do list ya mwaka 2012. Ila...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Some of the great discoveries made by man and woman!!!!! Man discovered Colours and invented PAINT, Woman discovered PAINT and invented MAKE-UP. Man discovered WORDS and invented...
0 Reactions
1 Replies
755 Views
Muhuri wa Utengano wa JF Idara ya Siri, Habari na Mwasiliano - Makao makuu P.O. Box 2011 Da Lala Salama Taarivya kwa byombo bya habari Ifuatayo ni hotuba ya Mheshimiwa sana Yutong (MB) Ndungu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Baada ya kumzika changudoa mmoja maarufu,watu walishindwa kuamua waandike nini kwenye kaburi lake.Hatimaye akajitokeza mzee mmoja akaandika;AT LAST SHE SLEPT ALONE!
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Jamaa alisingiziwa kuwa kaiba,waliomkamata waliamua kumpeleka kwa mganga wa kienyeji,waliamua kama ni yeye wampe kichapo mpaka afe,walipofika walimwambia nganga tutakupa hela kama utasema kweli...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakubwa tukiwa tunaelekea kufunga mwaka na kuufungua mwaka mpya najua kila mtu atakuwa na staili yake ya kufungia mwaka siku moja kabla au masaa machache kabla ya mwaka mpya. Binafsi ntakuwa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Leo majira ya mchana nimepigiwa simu na rafiki yangu akinijulisha msiba uliompata mdogo wake kutokana na hizi mvua zinazoendelea kunyesha hapa jijini Dar. Mdogo wa huyu rafiki yangu amempoteza...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Leo nimekaa chini nimewaza sana kuhusu maisha yangu in general, na nimegundua ninamiss kitu kimoja nacho ni mtoto nimetafuta kwa mda mrefu sasa mpaka nahisi mimi mgumba ingawa madaktari...
3 Reactions
110 Replies
12K Views
This post has been deleted by mtalingolo
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom