JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Bruno Mars: I wanna be a billionaire so freaking bad Girl: Yeah, me too. I need new clothes Bruno Mars: No you don't. 'Cause girl you're amazing just the way you are Girl: Really? You're...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Siku moja nikiwa foleni pale NMB morogoro,kuna wanachuo wawili wa SUA walikuwa wakirushiana miziki na videos kwa simu zao.Mbele yangu alisimama mzee mmoja na mvi zake,mkononi kashika simu lake...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Wapendwa wana JF, napenda kuchukua fursa hii kuwahabarisha kuwa mke wangu mpnz amejifungua mtoto wa kiume leo alfajiri..hivyo basi naona fahari(najua mwanangu atakuwa ni mwana JF mzuri tu-sijui...
4 Reactions
36 Replies
7K Views
punguzen kutengeneza chen sanasana bumu lkkata kwa wacchana....
0 Reactions
3 Replies
952 Views
Members kila mmoja ajipime kwa mwaka huu tu wa 2011 tangu January mpaka utakapoisha 31/Dec, utakuwa umetumia kiasi gani cha Fedha kuchangia harusi, send off, birthday party, kipaimara....n.k n.k...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
"Behold, the virgin shall be with child, and bear a Son, and they shall call His name Immanuel" which is translated, "God with us." . (matthew:1;23). praise the lord.. I love you & blessed. Mia
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Mchaga mmoja alikuwa akifanya biashara ya kuuza vacuum dry cleaners.Siku moja mchaga akiwa na vacuum dry cleaner zake alipiga hodi nyumbani kwa baunsa mmoja.Alipofunguliwa mlango,akatoa salamu...
2 Reactions
37 Replies
4K Views
..leo imebidi nikucheki kwa njia ya Zee manake nimekuwa nikitafuta kweli njia ya kugumiana na wewe lakini watu wananibania, nikaona sio mbaya katika miaka hii Fifte ya Independensi, nikuandikie...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Alilkuwa akihojiwa na mlimani tv katika kijambo cha wiki juu ya miaka 50 ya uhuru. Bonyeza chini kusikiliza: https://www.jamiiforums.com/audio/bibi-rap.mp3 Au download -...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Lazizi wangu kanitumia meseji ikiwa imepambwa kistadi kweli huku akigani mashairi akinitakia usiku mwema mwishoni inasomeka "usiku mwema na ndoto njema mama ninakupenda na ninakuahidi kukupenda...
4 Reactions
29 Replies
3K Views
Jamaa alikuwa na girlfriends watatu,akaanza kuwaza amwoe yupi kati ya hao. akawapa kila mmoja milion 5 ili aone kila mtu ataitumiaje. Girlfriend wa kwanza akaenda supermarket akanunua...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
The telephone bill was exceptionally high and the man of the house called a family meeting; Dad: People, this is unacceptable.You have to limit the use of the phone.I do not use this phone i use...
0 Reactions
0 Replies
816 Views
Masai aliibiwa simu kwenye daladala, akaanza kutoa onyo kwa abiria:- MASAI: Jamani alieiba simu yangu arudishe haraka kabla sijafanya kitu kama nilichofanya nilipoibiwa simu yakwanza...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Formular of how to conserve toilet paper just use both side.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Bwana mmoja na mkewe waliishi miaka mingi bila kupata mtoto. Walifanya kila waliloweza, hospitalini, waganga, washauri, lakini bila mafanikio. Hatimaye baada ya kushauriwa na mtu wao wa karibu...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Kwa kuzingatia uhalisia kuwa harusi nyingi za siku hizi zinagharimu mamilion ya pesa kwa starehe ya siku 1 au 2 tu, na kwakuwa serikali haina fedha na hvyo kuna haja ya kubuni vyanzo vipya vya...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Source: Yahoo friends
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mtoto anamuomba baba yake,naomba hiyo glass hapo juu,baba akajibu sitaki njoo mwenyewe mtoto;si unichukulie mara moja tu,baba akajibu ntakuja kukuchapa emb njoo mwenyewe,mtoto akajibu basi ukija...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Kulitolewa tangazo: mtu akiwa na watoto 10, anapata zawadi ya gari na nyumba, jamaa mmoja akamwambia mkewe sisi tuna watoto wa wanane (8), nisamehe ninao wengine wawili (2) nje ya ndoa naenda...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Padri mmoja alikuwa amechoka kusalisha, sasa alichokifanya akachukua redio halaf akajirekod hvyo ukifika mda wa sala anasimama halaf anafungulia radio, cku 1 akaisahau ile kanda nyumbani akamtuma...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Back
Top Bottom