based ona imagination.
Siku PM za watu wote zikiwekwa wazi itakuwaje?
Ni pm za akina nani utataka kuzipitia kwaza, top 3
na unadhani nani hatapenda kabisa hiyo idea?
Mie ntapenda kuona za...
Wanajf za jumapili?aisee ninaumwa na fizi sana kumbe jino linaota, sasa nashangaa kwani mwisho wa kuota meno ni miaka mingapi?mbona nina umri mkubwa tu?
Hope your birthday's happy and your wishes all come true and that everyday that follows brings happiness to you, on this special day as you celebrate your birthday wishing you a lot of surprises...
Great Thinkers.
Naomba kuuliza ni kwa nini hizi pombe kama Konyagi, Bia, Wine, Wisky, zinaitwa pombe halali?
Halafu pombe kama Gongo inatwa pombe haramu?
Mwalimu wangu wa somo la jiografia alinifundisha ya kuwa dunia inalizunguka jua katika mhimili wake kwa muda wa mwaka mmoja. Pia alisema mwaka mmoja huo waweza kuwa ni siku 365 na 1/4 au siku 366...
Wakuu hii nimeileta huku ili nisipigwe mawe! Kuna vitu baada ya uchunguzi wa kutosha penda tusipende Lowasa atakuwa rais wa Tanzania! Inauma na nilikuwa siamini lakini sasa anashinda! Hutushomoki...
Hivi hawa Airtel mbona wezi sana? Leo nimeweka vocha ya Tsh 2000 nikajua nitaongea dk 5 au zaidi na m2 ambaye yupo Marikani coz kiwango ni tshs 5.16 per Sec,lakin nilipopiga 2 ilikatika yote baada...
Hii ni kwa wale waliofanikiwa kuiona na mungu awajalie na kuwazaidishia na hii ndio raha ya jf
baraka unazipata hapa hapa duniani kila la kheri
soma mwanzo 1:23....27
Dreva Mwakitosi ambae anaendesha Fuso kampuni moja ya kuuza maji ya kunywa, hii cku anatokea Dar kwenda Mwz, kufuatia hali ya joto njiani akawa amevua shati anaendesha kifua wazi, mara ghfl...
Nikiwa nimelala chumbani na my wife,mara nikapatwa na shortcall ya haja ndogo.Nikaamka na kwenda zangu toilet.Ile narudi ndani,nikiwa sebuleni,nikasikia mwanangu Elvis ambaye huwa analala na...
Jamaa alikuwa kasafiri akaenda guest house
kumpunzika kufika aka amua amtumie masseji
mke wake kumbe alikosea namba ika enda kwa
mwanamke alie toka kufiwa na mume wake siku
mbili zilizo pita yule...
A boy caught his daddy red-handed with their house-girl making love and his daddy gave him 500/= Tshs. not to tell his mummy. Almost refusing the money, the boy said: ''daddy, that's not fair...
Tanzania vichekesho maisha yetu kama tunacheza drafti vile mana juzi juzi tulikuwa kwenye suala la umeme leo tupo kwenye suala la mafuta na viongoz wetu wanaongea pumba tuu.
hebu tuangalie...
Ndugu, Mwezi huu nawa kumi sijawai hona au kusikia kila mtu akisema hali mbaya sana.
UKATA, huu nimeufanananisha na Mamba kutoka majini na kwenda nchi kavu kula majani.
Jpili moja nimetoka...
Wana jamvi habari zenyu
niombeeni dua naelekea
kijijini kwetu kwenye misa ya mzee wetu jj msofe ali r.i.p 23 yrs ago,nipo kwenye bus la happy nation,na hizi ajali oooops! Hapa namsaidia driver...
Za wikiendi Wana JF!
Tumekuwa tukisikia wakaka wakilaumiwa na wakaka wenzao kuwa wana tabia za kike. Mara nyengine hata wadada huwalaumu wakaka hao kwa tabia za kike, na hufika mbali hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.