Ingependeza kuona tunaanzisha ka society ka Siri, tukutane mayb once or twice a year without revealing our IDs. Is it possible? If Yes, hw can we do it? It has to be Strictly JF members only.
kwa hali hii ya mgao usio na kicha wala mkia katika nchi yetu.kwa nini basi tusikubali tu tutangaze km ni kivutio cha utalii.naona tutapata mkwanja wa nguvu kufidia wale twiga wa loliondo...
Kama kuwa handsome ni complement............ basi hata kuwa mbaya ni complement.....
Ukiwa mwongo...(mbea) uwe una kumbukumbu!!....
Tupe msemo wako.................
Mimi nipo nje ya Nchi Nataka nije huko Tanzania nianzishe Kampuni ya kupiga vita Mbu je Serikali itaweza kuniunga Mkono? Nawaombeni Mawazo yenu Mnasemaje kwa hilo?Asanteni sana.....
Dogo mmoja alipanda daladala akawa anaimba..Baba angekuwa beberu mama angekuwa mbuzi mimi ningekuwa ndama, baba angekuwa jogoo mama angekuwa koo mi ningekuwa kifaranga...,konda akaona dogo...
Wakishtuka ishakua milango ya saa 11 alfajiri bado wapo klabu na wako bwiii kisawasawa, na ndy wanaamua kurudi hom, walevi hao wawili majirani, mbalamwezi angavu ikiwa inaangaza mashariki ya...
A psychiatrist was conducting a group therapy session with four young mothers and their small children... "You all have obsessions," he observed.
To the first mother, Mary, he said, "You are...
Et Mtalii alimuuliza kijana mwenye boti,"Do u knw Biology, Psychology,Geographyan
Geology?"
Kijana mwenye boti akajibu "NO".
Mtalii akamwambia kijana,"What de hell u knw on the face of this...
hii imetokea kwe ligi ya mchangani mchezaji alifunga goli akawa anashangilia kwa furaha mbele ya mashabiki gafla wakamuona anatoka nje na kuingia kwenye gari na kuelekea mtaani kushangilia kisha...
Haircut
A guy stuck his head into a
barber shop and asked,
"How long before I can get a haircut?" The barber looked around
the shop full of customers
and said, "About
2 hours." The guy...
This incident, is supposed to have happened in real life.
My friend, who is a the head of Human Resources at a very large bank, says that the best excuse for absenteeism, that he had ever...
Jamaa alikuwa kasafiri akaenda guest house kumpunzika kufika aka amua amtumie masseji mke wake kumbe alikosea namba ika enda kwa mwanamke alie toka kufiwa na mume wake siku mbili zilizo pita yule...
3 guys named
WHAT,WHY, and WHEN
were talkin
WHAT:WHY what r u
doing?
... WHY:i dont know what
iam
doing.
WHAT:why?
WHY:why r u caling me?
what? WHAT:now why did
u cal
me?
WHY:what...
WTF.......
Haya ndio majibu ya urefusho wa abrv WTF.
1. Wewe Tu Fukara= hii niliikuta pale Tandale kwa muuza popo.
2. Watu Tuna Fedha = hii niliikuta pale Magomeni kwa Mchambia kisu
3...
Je, ukimfumaniwa dada yako kwenye kona akibambiwa. Utachukua uamuzi gani?.
Mimi binafsi.
Nitakimbia sana, sitapenda hata wajue kuwa nimewaona ili tuzidi kuheshimiana.
wakuu hii site nilikuwa siifuatilii kihivyo,leo nikaamua ngoja niingie nikajionee kunani huko facebook,huwezi amini nimekutana na ma school mate wangu kibaooo ambao nimepoteana nao kwa zaidi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.