JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Haka kamsemo kalikuwa kanatumika sana wakati nikiwa mdogo. Je kitu gani na wewe ulikuwa unadanganyiwa ili usiendelee kufanya fujo?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
PJ, What I have said above is true and in reality I miss you. Please set your mind that; I will be coming to Arusha soon hopefully this December 2011 so that will meet. Send my regards to all...
0 Reactions
176 Replies
11K Views
Wazo la leo...
5 Reactions
21 Replies
3K Views
Niliingia duka moja kununua sandroz, bahati mbaya nilikuwa nimevaa viatu. katika harakati za kutaka kujaribisha nikavua viatu, nikazijaribisha zile sandroz nikiwa na soksi, nikawambia hizi ngozi...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Baada ya dawa hizi, hatunahaja na ma Doctor tena.. 1. Kuumwa kichwa. Koroga vijiko vinane vya sukari katika maji ya fukuto unywe taratibu. 2. Maumivu ya viungo vya mwili. Chukua nusu...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Padri amekaa katika ki-box cha kuungamisha, kanisani hakuna mtu. Mara muumini mmoja akaingia, akapiga magoti upande wa pili na kufanya ishara ya msalaba akaanza kuungama. Muumini: "padri...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Mie jamani huyu shoga yangu wala simwelewi. Mwanzoni mwa mwezi ulopita, alikuja kunazima vidani vyangu vya dhahabu ili kuhudhuria pamvu ya dada yake. Siku kadhaa baadae akaja kunambia kwamba...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Kuna jamaa mmoja kutoka bara baada ya kuingia jijini Dar, siku moja katika matembezi yake aliingia katika choo cha kulipia. Kwa vile alikuwa amekula ugali wa mtama, alishusha mzigo ‘kimba’ la...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kama unataka demu,sema unataka aweje aweje,na akiwa mtaani,sema unatakaje atokeje tokeje,marashi itakiwaje akinukiajeeee...nampenda demu bomba awe mtanzania...nimeumic wimbo huu..
0 Reactions
26 Replies
3K Views
kwa wale wanaodate kupitia mitandao sasa hapo ndio mtu anakuambia mm niko na 27,engineer upande wa civil,ni mrefu wastani,sio mnee wala mwembamba so kama umemkubali yy anakutumia invitation uende...
0 Reactions
46 Replies
5K Views
Ibara ya 90 imepitishwa kw ombi la mwenyekiti na c mtoa mada mwanasheria mkuu.Huyu mama anamapungufu sana.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
****mamako!! Ni tusi lililo kwenye midomo ya watu wengi sana, wake kwa waume!Ivi mimi na wewe tumekoseana, kwa nini umtusi mama yangu?Icho unachokitukana kina uhusiana gani na ugomvi wetu?Someties...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Washawasha na NALOG OFF zake kwa kweli ni kama kichekesho fulani. Akimaliza kuongeaaaaaaa NALOG OFF Akimaliza kusomaaaaaaa NALOG OFF Nadhan katika hali ya kawaida huwa anafanya hivyo, kama vile...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Nataka kujua SIFA za watoto wote wa kiume na kike ambao mimba zao zinatungwa wakati wazazi wao wakiwa kwenye Fungate la NDOA yaani (HONEYMOON), nipo kwenye ka UTAFITI kidogo nadhani Machi 2012...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nimechunguz hawa New members wote naona ukiongelea kuhusu chama tawala na serikali yake Mishipa inawavutika je nauliza wamepandikizwa humu JF??na Magamba? nijulisheni au na wanaajamvi fuatilieni...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
It is true that i love 'U'.. I love u.. I cant even explain how much i love U.. Haipiti siku without seeing U.. That is why making me to love 'U' forever.. I love not only 'U' but also i love...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Methali mpya za kiswahili... (1) Mfa maji? ............Tampa life jacket. (2) Mwenda pole?.......... Tachelewa fika. (3) Usipoziba ufa ?.......... Mwizi taona mpaka ndani. (4) Usilolijua...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ukimwamini nyani kupita kiasi madhara yake ndio hayo......... http://youtu.be/GhxqIITtTtU
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari zenu wanajamvi ni hivi leo asubuhi nikiwa kituoni nasubiri 5 5 ili nielekee kazini,watu walikuwa wamesheheni kusubiri usafiri basi ghafla bin vuu akatokea chizi ana mshipa(bu sha) mkubwa na...
0 Reactions
40 Replies
3K Views
Wana JF naomba mnisaidie katika jambo hili, nimekuwa nikisikia watu wakatumia sana msemo huu kuwa ubaya hawakuzaliwa nao bali wamefundishwa na ulimwengu, je hii ni kweli?
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom